Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

andika: 1. CCM TUMEWAGUNDUA, HAMTAIBA KURA TENA 2015
2. JK HATUJASAHAU UFISADI WA EPA, RICHMOND, BUHEMBA GOLD MINES, BUZWAGI, KAGODA, DEEP GREEN.... n.k . MKIOMBA RADHI KWA WATZ MTAFIKIRIWA.
3. JK, NCHI IMESIMAMA, UNASUBIRI NINI?
4. JK, IF YOU CAN NOT WITHSTAND THE HEAT, PSE GO ...... !
5. CCM. KUENDELEA KUWADHARAU WATZ NI KUJIDANGAYA
6. WATANZANIA WOTE NI NDUGU, INCLUDING WANA CCM, 'EXCLUDING' MAFISADI WASIOMBA RADHI
 
weka: MALARIA HAIKUBALIKI VIVYO HIVYO CCM. au andika WATANZANIA TUSHIKAMANE KUUTOKOMEZA U-CCM DAMUNI MWETU.
.
 
Andika hivi: NAPE USIWE NA SHAKA, TUKIINGIA IKULU TUTASHUSHA BEI YA VIPODOZI NA UTAENDELEA KUNONA KAMA KAWA
 
hii nji ni ya kwetu wamangi bana..
hao wengine wanatusindikiza tu.

Serikali inayoruhusu mtumishi wa afya,kitengo cha benki ya damu,kwenda na funguo nyumbani hii ni serikali rafiki?
Ndugu yangu amefariki kwa uzembe wa kipuzi.

Endeleza ant-movement for change nyuma ya keyboard,yakija kukupata hutawashwa kama uwashwavo wakati huu.
 
Andika hivi:

"WATANZANIA TUNAHITAJI MABADILIKO SASA YA KIMAENDELEO BILA KUJALI DINI ZETU, KABILA ZETU AU CHAMA. TUNAHITAJI VIONGOZI WANAOJUA HILO"
 
Andika hivi:KAMA CCM SI MAFISADI WATUTAJIE HADHARANI WEZI WA EPA-KAGODA,MEREMETA,Watutajie NANI ALIHUSIKA NA RICHMOND.
2.Au hivi:MAKINDA RUHUSU HOJA BINAFSI YA RICHMOND BUNGENI.
 
!!!!! Tumeandika mengi lakini yahusiana na katiba????!!!! Andika kwenye bango lako "katiba mpya iondoe umungu wa rais wa ccm wa kuteua viongozi wa mihimili mingine ya dola na kuondoa mtandao wa kulindana kwa mafisadi, kutowajibika na kutokuwa na utawala wa sheria. Viongozi wa mihimili mingine ya dola wawe huru, wasiteuliwe na mungu rais wa ccm"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom