Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

"lazima wachaga tuchukue nji 2015"
Si bure umelogwa wewe..Au yawezekana una mtindio wa ubongo.. watu kama nyie ndio mliotufikisha hapa maisha ya watanzania yanazidi kudidimia kwa kasi na wewe unachekelea. wewe ni sawa na wale wachawi wanaozuia mvua..
 
Andika "Movement 4 Chagaz"
Wewe mtoto wa kike usiye na haya hizo ndio sera za chama chenu kinachokufa za kuwagawa watanzania kwa dini na makabila yao ili wasiungane kuwaondoa madarakani? Andika mmeumia.. kwanza wewe una umri gani? Maana chama chenu ndio kinakufa na wazee wao.
 
Andika , NAIPENDA CCM, NITASEMA UKWELI DAIMA UONGO KWANGU MWIKO ! CCM NAMBARI WANI ! JK NDIO RAIS BORA KABISA TANZANIA, ZIDISHA MAPINDUZI YA KILIMO NASISI TUPO NYUMA YAKO !
Aaa na mie mpemba nipo nyuma yake pia
 
Tafadhali wajf nisaidieni,nimeshanunua tambara kubwa tayari kwa kuandika ujumbe na kuanza safari kwa mguu toka tabata kimanga kuelekea jangwani for m4c hapo kesho,sasa naomba unisaijie ujumbe gani nitupie hapo bangoni?,nawasilisha

unavyohangaika hivyo i hope hao viongozi wa cdm kweli watawakumbukeni wakichukua nchi..msije mkalia na kusaga meno hapa baada ya 2015
 
unavyohangaika hivyo i hope hao viongozi wa cdm kweli watawakumbukeni wakichukua nchi..msije mkalia na kusaga meno hapa baada ya 2015
 
Andika , NAIPENDA CCM, NITASEMA UKWELI DAIMA UONGO KWANGU MWIKO ! CCM NAMBARI WANI ! JK NDIO RAIS BORA KABISA TANZANIA, ZIDISHA MAPINDUZI YA KILIMO NASISI TUPO NYUMA YAKO !

Andika bango lako maneno hayo.. Halafu katisha mitaa ya Tandika pale.. au Tandale pale.. au Manzese pale.. Utapata jibu kama CCM ni nambari wani au mafisadi nambari wani.. Wewe ufanye kama unapita tu.. Maana mnadhani maeneo hayo bado watanzania hawajaamka..
 
siunajua kesho ndio siku yetu ya kujumuika wachaga wa dsm.
Miye mmatumbi nitaongozana na rafiki zangu ambao ni wamakua, wanyakyusa, wandengereko, wabena, wasandawe wanyaturu, wanyiramba, wasukuma the list goes on...............tunakwenda bila matarajio ya kupata t shirt, khanga wala ubwabwa, kipato chetu cha kubangaiza lakini tutaacha shughuli zetu na kuelekea Jangwani, tukikosa nauli tutatembea na miguu sasa basi endelea kuongelea hiyo jumuiya ya wachaga as if hayo makabila tajwa hapo juu nayo ya ukaribu wa kihivyo na wachaga.........kalaghabao
 
Andika bango lako maneno hayo.. Halafu katisha mitaa ya Tandika pale.. au Tandale pale.. au Manzese pale.. Utapata jibu kama CCM ni nambari wani au mafisadi nambari wani.. Wewe ufanye kama unapita tu.. Maana mnadhani maeneo hayo bado watanzania hawajaamka..
mkuu hana haja ya kuandika bango ila atembee na tshirt iliyoandikwa hivyo!
 
Andika , NAIPENDA CCM, NITASEMA UKWELI DAIMA UONGO KWANGU MWIKO ! CCM NAMBARI WANI ! JK NDIO RAIS BORA KABISA TANZANIA, ZIDISHA MAPINDUZI YA KILIMO NASISI TUPO NYUMA YAKO !

HUU UNOKO USIANDIKE!! Tangu lini JK amekuwa rais bora? Hajawahi kuwa na wala haji kuwa!!!
 
Andika , NAIPENDA CCM, NITASEMA UKWELI DAIMA UONGO KWANGU MWIKO ! CCM NAMBARI WANI ! JK NDIO RAIS BORA KABISA TANZANIA, ZIDISHA MAPINDUZI YA KILIMO NASISI TUPO NYUMA YAKO !

Marehemu Jommo Kenyata wa kenya, alikuwa ziarani mombasa (pwani), wananchi walimwambia rais tuko nyuma yako, alikataa akasema nyie watu wa mombasa wahuni sana, semeni tuko bega kwa bega, hivyo ni wewe tu uliye nyuma ya uliyemtaja hapo juu, usitujumlishe watz wote, sababu watz hatuko bega kwa bega na jk, yuko bega kwa bega na mafisadi.
 
Andika: ''SAFARI ZOTE ZA MAJUU KUMBE ALIKUWA ANAENDA KUNYWA TRUVADA''
 
Andika ''UCHAGUZI MDOGO WA RAIS UFANYIKE HARAKA''

Nchi hii hatuna Rais anayeongoza, bali tuna Rais anayetawala!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom