maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,502 Reaction score 6,412 Feb 7, 2024 Thread starter #41 kidonto said: Sasa kwa vile Biashara yenyewe sio deal tena, na labda huifanyi tena, emu ielezee hapa ili tujifunze kwa Vitendo. Click to expand... Mkuu njoo inbox sitaki hata mia yako
kidonto said: Sasa kwa vile Biashara yenyewe sio deal tena, na labda huifanyi tena, emu ielezee hapa ili tujifunze kwa Vitendo. Click to expand... Mkuu njoo inbox sitaki hata mia yako
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,502 Reaction score 6,412 Feb 7, 2024 Thread starter #42 Kibigwa said: Hawa ndio wale Wakiumwa/ kufariki Na hizo Wanazo ita biashara Zinakufa!! Click to expand... Mi naona ni sawa watoto watafute mali zao
Kibigwa said: Hawa ndio wale Wakiumwa/ kufariki Na hizo Wanazo ita biashara Zinakufa!! Click to expand... Mi naona ni sawa watoto watafute mali zao
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,502 Reaction score 6,412 Feb 7, 2024 Thread starter #43 Papasa said: Balaa mara zote huanzia pale unapo muamini mwanamke Click to expand... Mkuu alijazwa akapigwa na mtonyo..ila nilimkazia kama mwezi
Papasa said: Balaa mara zote huanzia pale unapo muamini mwanamke Click to expand... Mkuu alijazwa akapigwa na mtonyo..ila nilimkazia kama mwezi
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,870 Reaction score 36,200 Feb 7, 2024 #44 maishapopote said: Nisije nikatoa code hapa ila kuna siku nitatoa code moja matata Click to expand... Mkuu mi nakuja inbox, nahitaji code maana napambana naishia kupata hela ya kula tu!
maishapopote said: Nisije nikatoa code hapa ila kuna siku nitatoa code moja matata Click to expand... Mkuu mi nakuja inbox, nahitaji code maana napambana naishia kupata hela ya kula tu!
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,502 Reaction score 6,412 Feb 7, 2024 Thread starter #45 Lavit said: Mkuu mi nakuja inbox, nahitaji code maana napambana naishia kupata hela ya kula tu! Click to expand... Mkuu ngoja nitakupa ujanja kuna watu hapa town wanaishi vizuri mno ila huezi jua biashara yake maisha...!
Lavit said: Mkuu mi nakuja inbox, nahitaji code maana napambana naishia kupata hela ya kula tu! Click to expand... Mkuu ngoja nitakupa ujanja kuna watu hapa town wanaishi vizuri mno ila huezi jua biashara yake maisha...!
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,870 Reaction score 36,200 Feb 7, 2024 #46 maishapopote said: Mkuu ngoja nitakupa ujanja kuna watu hapa town wanaishi vizuri mno ila huezi jua biashara yake maisha...! Click to expand... Ha ha itakuwa poa sana, ujue mpaka najiona nimekaa kizembe, nikishindwa kupata maisha dar nitayapata wapi tena!
maishapopote said: Mkuu ngoja nitakupa ujanja kuna watu hapa town wanaishi vizuri mno ila huezi jua biashara yake maisha...! Click to expand... Ha ha itakuwa poa sana, ujue mpaka najiona nimekaa kizembe, nikishindwa kupata maisha dar nitayapata wapi tena!
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,502 Reaction score 6,412 Feb 7, 2024 Thread starter #47 Lavit said: Ha ha itakuwa poa sana, ujue mpaka najiona nimekaa kizembe, nikishindwa kupata maisha dar nitayapata wapi tena! Click to expand... Huu mji mkuu una style yake tofauti..so ukitumia sana akili hutajutia.. Ila ukitoka kwenye mfumo na mji unauhama
Lavit said: Ha ha itakuwa poa sana, ujue mpaka najiona nimekaa kizembe, nikishindwa kupata maisha dar nitayapata wapi tena! Click to expand... Huu mji mkuu una style yake tofauti..so ukitumia sana akili hutajutia.. Ila ukitoka kwenye mfumo na mji unauhama
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,651 Feb 7, 2024 #48 Tukijikita kwenye biashara ya kutengeneza na kuuza, kunakuwa hakuna shida; ubora wako na mikakati sahihi ya kimasoko ndio utakao kuweka uwanjani.
Tukijikita kwenye biashara ya kutengeneza na kuuza, kunakuwa hakuna shida; ubora wako na mikakati sahihi ya kimasoko ndio utakao kuweka uwanjani.
Dr Dre JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 2,669 Reaction score 2,855 Feb 7, 2024 #49 wanasema kila biashara ina siri zake ambazo hatakiwi mtu yeyote kujua