Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

Ww vip ..huyo hakuwa mwenzako ....kuna wale wanaokutongoza kati yupo mwenzako ...unakunywa sumu kwa mtu ambaye sio mwwnzako? Uliye nae sasa ivi ana mwenzake ambaye ameamua kuweka picha kwenye simu
 
hope ulinilenga mimi hapa nakusikitikia sijui dada au kaka!!!!! kama we ni.mdada na una sura nzuri basi mumewe angetosheka na wewe na asingeangalia wengine. Nasisitiza nenda taratibu tutakufahamu vinginevyo tuambie kule kwenye jukwaa la biashara ulimaanisha nini kusema una mke na wtto wawili.? Note ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!

Alaaaa....kumbeeee
 
Tafadhali usichangishe gharama za msiba nitashughulikia kila kitu wape password ya account yako wani pm nitawatumia mchango
 
Nakushauri kunywa. Anae taka kujiua hasemagi. Na anaependwa na wengi hasemagi. Na nzuri hajisifiagi.
 
watu wanaotishia kunywa sumu huwa hawanywagi izooo hasira tu tuliza akili muhoji mme wako vizuri. Tafuta chanzo cha yeye kukusaliti. kukimbia tatizo sio suluhisho la tatizo.
 
Picha tuu unywe sumu.... mmmh.... unafanana na Fulani . Au umekuja kivingine?
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu

dah! unachepuka sana enhe!
 
Utakuwa hujui kupenda kwa maana hujawahi ku-like hata post moja humu jamvini.
 
Yaan huyo dawa yake ni kuweka picha ya rafiki yake anaempendaa au awe anamzidi pesaa na uwezo tafuta picha yake wekaaa kwenye simu yako,profile ya watsapp muweke ngoma droo
 
[QUOTE=Khantwe; we c unachokolewa nyuma
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu

mmh! makubwa kumbe ni sifa
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu

Kuna mama mmoja alikuta condom used chumbani kwao so picha tu vumilia.
 
Back
Top Bottom