Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.

We kunywa tuuu ndugu yangu ila kama una m-pesa kdogo nkupm my number ili ukifa nikapate bia mbili

Ujinga mkubwa, hasara ya wazazi wako na watoto wako. kunywa sumu ni udhaifu mkubwa.
Hahahahaaaaa,,, mbavu zangu mimi..Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu
Kwani nimekosa nini katika hii dunia?
Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita.
Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii.
Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafiki yangu.
Jamani kuna uzi unasema huyu mtoa thread kafarikii
Hiv kwelii jamaniii umeamua kujiuaa kisa mumeoo japo mapenzi yanauma ungejikaza tu