Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
Kwani nimekosa nini katika hii dunia?

Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita.

Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii.

Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafiki yangu.
 
Usinywe sumu haitasaidia...mmekuwa pa1 muda gani?
 
Sumu ya nini besti ...why not go have fun na hao wanaokutongoza kila kukicha...ila tumia kinga
 
Sasa ukinywa sumu utakuwa umemkomoa nana?

Angalia familia yako watajisikiaje wakiondokewa na wewe

Kama wewe unajiona una matatizo ukumbuke kuna wenzio wana matatizo kuliko wewe chukulia mfano CAR, Syria yanayoendelea nafikiri wewe mwenyewe utajiuliza mara mbili mbili
 
Dah, yaani ufe kwa ajiri ya mapenzi? ni bora ujiondoe tu maana Mungu ameshakuonesha kua huyo sio.
 
hapa ni usanii m2pu.
dunia ya leo kuna wa kunywa sumu kwa ajil ya kupenda?
i can not buy this thing!
wanawake wa kizazi hk?
ooh come on!
stop kidding
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu
 
Kumbe mnaonaga sifa eeeehhhh???
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.

Tatizo haliwi solved kwa kulikimbia.kuna option pia ya kuachana usifanye maamuzi ambayo sio mazuri.huna hja ya kumpa mtu faida akajiona bora wkt u can turn tht around
 
Bi dada kuwa serious kidogo basi,ni picha tu au kuna mengine?Wala huna haja ya kubwia sumu,cha msingi timiza kikamilifu wajibu wako kwake,tena ikibidi zidisha!
 
Labda umeangalia whatsapp yake umeona profile picha za watu
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.

utapata hasara 2 moja ni kwa mwenyez mungu na pili jamaa na rafk yako wataendlea kula maraha.utaipa simanz familia yako,acha kabisa unajitesa bure,cha mcng tafta mwingne kuliko kujinywea sumu
 
Back
Top Bottom