Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

weee hizo akili za kipunguan unywe sumu kisa mwanaume mliyekutana ukubwani kwani uliambiwa huyo ndo maisha yako,hivi ukifa hiyo familia ya kwenu watajiskiaje ina maana baba yako na mama yako walikuzaa ili uwe zawadi ya huyo mwanaume au?you is lyk the gold of your parent and not else unatia hasira we bidada had bac
 
Wala usijiue,you still have a reason to live,don't you think so? Usikubaly kutoa uhai wako because of what you are going through,challanges are parts of our life,just overcome them

Good day
 
nimechk sana bora nife kuliko kudhalilika
 
utapata hasara 2 moja ni kwa mwenyez mungu na pili jamaa na rafk yako wataendlea kula maraha.utaipa simanz familia yako,acha kabisa unajitesa bure,cha mcng tafta mwingne kuliko kujinywea sumu[/QUOTE
jamani kama ur heart z such delicate don be too concentrated to ur hubby ot man.mafiga matatu kwako hayaepukiki ukishindwa mchepko just maintsin hata frend with benefit.ya nini kulialia na hawa watu.mwanamke wa kweli humaliza ya kwake kimyakimya bhana.ukiweza mvumilie ukishidwa tek ma advice
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu

mmmh kondomu? Wallah ningekunyoa ko..ro..d..ni ha ha ha!!
 
Tafta ili na yy kimuume aseme mke wangu cmuelewi, nimechoka kuishi, ila kwan huaga wanapenda au wanatamani
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu

Hahahaha mpwa mbona wanichekesha sana jf free stress
 
Acha ushsmba. unywe sumu kisa picha je ungekuta wako kitandani wanagegedana ungefanyaje. Tuliza moyo hayo yatapita ni upepo tu huo.
 
hapa ni usanii m2pu.
dunia ya leo kuna wa kunywa sumu kwa ajil ya kupenda?
i can not buy this thing!
wanawake wa kizazi hk?
ooh come on!
stop kidding

hahahaaa... my friend u don know a thing about pain...vitu vingi vya ajabu huwa vinapita akilini, unataman ardh ipasuke, unatamani uwe mti, unataman bora ungekuwa mait na mengine meeengi, of course huwa ni vya muda tu havidumu. ukitulia bila kuchukua maamuzi vinatoweka muda si mrefu,, acha bana usiombe yakukute
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.
uzuri wa sura na umbo havitoshi. Pengine mashine sio.
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.

mm natoa baraka zote kunywa tu ili aumie au siyo?
 
Dada usinywe sumu kwanza njoo tugegedane hlf ndo unywe!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kama kumpa nampa mpaka analia yeye. Cjajua tatz nnn mpk atembee na yule mpingo wake.
 
unakunywa sumu unakufa mwenzio anaendeleza kuponda maisha....NANI ANA HASARA HAPO?
 
Back
Top Bottom