Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

picha tu, tafuta picha nawe uweke hata ya bosi wake...
 
Kunywa haraka sana, niPM nikuelekeze aina ya sumu ambayo ipo faster ikishaingia kooni.
 
picha tu, tafuta picha nawe uweke hata ya bosi wake...

Ha ha ha hakuna kitu kibaya kama mtu akikuchoka......hata aweke picha amelalana na baba wa mumewe hatojali.Na ndo ataumia zaid coz raha ya revenge uone nae anaumia
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.

yaani hadi miaka hii bado kuna watu wanakunywa sumu kisa kupigwa mashine?? pole yako sana.
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu

ha ha ha huyo mkeo naye umempata. ....
 
kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.
there must be a reason, jaribu kufanya research dada, acha kulalamika, kutongozwa tongozwa barabarani sio dalili ya kupendwa, kumbuka hata vichaa nao wanavutwa na kutiwa kwenye 18, je wao nao wasemeje?

Hebu vuta subira, nipe kazi ya kukufanyia participant research nigundue atizo! Lol!
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.

Picha wakiwa uchi au wanaduu?maana picha tuu ya kawaida haina shida
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.
Usinywe sumu,mi-pm
 
Ha ha ha unywe sumu kwa kipi?
Umekutana nae ukubwan na meno 32 afu unywe sumu yy aendelee kula raha
Achana na hizo hisia kabisa
 
Shosti kunywa haraka hiyo sumu me nihamie kwako kabisaaaa, manake unatubana bana tu...!
 
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu

Mkuu hivi ni mambo ya kujitangazia hayo? Huoni aibu?? Uvumilivu na upendo wa mkeo ndo unakupa kiburi kiasi hicho?
 
Kwenye moto peleka moto, kwan hamna rafik yake aliyekutongoza?! Dadaaa endelea kwa wakati wako, bt tumia kinga, peku peku ni hatari
 
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.

Heee...unywe sumu kwaajili ya mtu ambaye hata si ndugu yako??!!
Ila hata wewe jichunguze...uzuri pekee sio credit ya mtu kukupenda na kuwa mwaminifu kwako...isijekuwa umebweteka na huo uzuri ukasahau sector nyingine..unaweza ukawa mzuri lkn mpenzio akanasa kwa sie wenye sura za baba zetu ukabaki unajiuliza what is this..??
 
Kunywa sumu sio soln wewe!watu tumeshakutana na makubwa sembuse wewe picha!!!!wee ni upepo tu zitamchosha atazitoa tu,wee jifanye mjinga siku ziende mtoa mada!
 
SASA NDIO UNATUAGA AU...BS UKISHAKUNYWA RUDI HAPA UTUAGE VZR TUJE NA RAMBIRAMBI..AF USISAHAU KUTUAMBIA MSIBA UTAKUWA WAPI...

bye bye sumu gani unatka kunywa? tumia ile ya panya yan huchukui round mavi yamejaa kwenye pensi
 
Back
Top Bottom