Niambieni sifa za wanawake wa kabila la wangoni?

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,552
2,000
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
snowhite uko wapi??
Kukusaidia mfuatilie snowhite post zake, they are so sweet, wavumilivu, wana manjonjo kitandani na wanapenda ndugu.
 
Last edited by a moderator:

Thanda

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,915
0
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

Kwa kuwa Kaunga yuko online katika thread hii, najua atatia neno la busara kwani huwa ni hazina isiyokauka.

 

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,030
2,000
wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

hongera sana!
Ni wachangamfu;
wakarimu kwa wageni wa kiume zaidi,
hawana wivu kwa mashoga zao (wanawake)
huduma za kijamii kwao ni jambo la kawaida (wako juu kwa kweli)
 

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,932
2,000
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

NinaDate na msichana wa Kingoni muda huu na nilichokiona kikubwa ni wanapenda sana kale kamchezo ka kitandani na wengi wao ni weusi, sijawahi kuona msichana wa Kingoni angalau awe hata maji ya kunde. Na hata ndugu zake wote ni weusi tiiii, sasa najiuliza nikichanganya damu sijui itakuwaje huyo mtoto. Nilitaka kusahau, wana maHips makubwa hadi raha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom