financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,215
- 43,615
😍😉Naam,.tutakuwa pamoja malikia wangu
😍😉Naam,.tutakuwa pamoja malikia wangu
Asante sana, napata darasa ili nifanye vz zaidi ,ukifika usiboreke.Asubuhi,
1.mchemsho wa Kuku au Samaki Sato+mbogamboga ambazo hazijaungwa chochote
2.Maziwa fresh/Juisi/uji na Mhogo/viazi vitamu/maboga.
Mchana,
1.ugali vs mbogamboga,dagaa,bamia/mlenda
2 ugali vs Samaki/kuku wa kuchoma bila
Usiku,
1.ndizi/wali-maharage
Hivyo vikipatikana nitakuwa mteja daima.
Najitahidi .asanteVery thoughtful. Asubuhi saa mbili napendelea chapati na chai nzito ya maziwa, ila siku zingine nikute supu murua ya utumbo. Mchana saa saba kama kawaida ugali laini wa dona, samaki rost aliyekaangwa na mboga za majani zikiwa nyingi, ikiwezikana kuwe na matunda pembeni. Haya, usiku nikute wali aisee, walinazi na nyama, maharage au njegere, mchicha kama kawaida na matunda. Siku nyingine usiku nikute mchemsho wa samaki/kuku na ndizi.
Dah,Asante sana,madini ya kutosha .natamani nikualike one day kwa kweli, umenigusa zaidi .thanxhongera sana.umefanya jambo nzuri sana kutaka kujua kutoka kwa wateja wanahitaji nini. mimi nitakushauri kwa ujumla.
Ok. kwanza uwe na variety ya kutosha ya vitafunwa sio unakuta maandazi na chapati tu.
same kwa mchana, sio unaenda kwa mama ntilie unakuta ana wali nyama na ugali tu.
2. hakikisha vyakula vinakuwepo kwa muda mrefu na viwe vya moto ,sio unaenda saa 9 chakula kimeisha au unakuta cha baridiii.
3. usafi, hakikisha hakuna vyombo vinazagaa hovyo sio banda limejaa nzi na mimajimaji isiyoeleweka .
4. usafi wa wafanyakazi wako pia, wavae vizuri na wawe wasafi ,itapendeza wakivaa epron zile nyeupe.
5. kama huna huduma za vinywaji basi viwepo jirani na wewe.
6. wewe na wafanyakazi wako wawe na kauli nzuri kwa wateja wako.
7. kuwa mbunifu wa vyakula au mixers ambazo wengine hawana .
Umenichekesha kweli kwani umenikumbusha mtindo wa Dar wa kula maharage asubuhi. Halafu watu wengine wanaweka sukari. Du! looong time na-mis this stuff.Sehemu nikikuta chapati na maharage kwa bei fair hapo lazima patanihusu. Chapati moja 300 maharage bakuli 500.
Nafikiri watu wengi wataafford hii.
[emoji122]Sehemu nikikuta chapati na maharage kwa bei fair hapo lazima patanihusu. Chapati moja 300 maharage bakuli 500.
Nafikiri watu wengi wataafford hii.
Mtori na mishikak ya nundu😋Mimi Ni mama Lishe, niambie au nishauri,unachopenda kula au ukikute sehemu yangu ya biashara pindi unapohitaji kifungua kinywa au chakula chako Cha mchana unapokuja,ili ufurahie huduma yangu kesho urudi Tena,naomba uwe muwazi ,...karibu Sana nipo nyuma ya Boch hosp mbezi msuguri.. 0652132665.
Naona unajiombea mabayaMimi yatima sina hela ya kula nije kula bure kilasiku
Usiwe na wasi,Naona unajiombea mabaya
Unashingapi je Kisemvure utalifuataMwenye Lile sanduku la kioo la kuweka vitafunio ,KWA bei POA njoo
0652132665
[emoji4][emoji4]asante pia mkuuDah,Asante sana,madini ya kutosha .natamani nikualike one day kwa kweli, umenigusa zaidi .thanx