Niambie utapenda ukute nini

Niambie utapenda ukute nini

Asubuhi,
1.mchemsho wa Kuku au Samaki Sato+mbogamboga ambazo hazijaungwa chochote
2.Maziwa fresh/Juisi/uji na Mhogo/viazi vitamu/maboga.

Mchana,
1.ugali vs mbogamboga,dagaa,bamia/mlenda
2 ugali vs Samaki/kuku wa kuchoma bila

Usiku,
1.ndizi/wali-maharage
Hivyo vikipatikana nitakuwa mteja daima.
 
Very thoughtful. Asubuhi saa mbili napendelea chapati na chai nzito ya maziwa, ila siku zingine nikute supu murua ya utumbo. Mchana saa saba kama kawaida ugali laini wa dona, samaki rost aliyekaangwa na mboga za majani zikiwa nyingi, ikiwezikana kuwe na matunda pembeni. Haya, usiku nikute wali aisee, walinazi na nyama, maharage au njegere, mchicha kama kawaida na matunda. Siku nyingine usiku nikute mchemsho wa samaki/kuku na ndizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom