Niaje wana JF

Ongeza picha basi, weka na dada yako pia, maana huku kuna watu kila kitu utasikia weka picha.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa katika pitapita zangu ile nafungua jf yangu tu nakutana na hamisi mohamedi. Nikajua hataaa simu yangu itakuwa imechanganyikiwa. Kumbe kweli bwana nipo jf mh jamani we hamisi huku watu wanaenda kimya kimya. Naona itakuwa fb imejaa sasa mark zuckberg. Kaona awalete wengine huku
 
Dogo huku huwa hatuweki picha zenu mkuu,huyo avatar yangu hata simjui na mm ni Male
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…