Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,355
Muhali gani wapendwa?
..
Hapa nimepata kigugumizi!
Kuna Msichana 1 anasoma O level, (per day school) mm na yeye ni majirani.
Huu ni mwaka wa tatu nimekua nikimsaidia kimasomo (sio kumpa hela) just namfundisha baadhi ya masomo ninayoyajua na kumpatia baadhi ya Materials niliyotumia! Nafanya hivyo kama jirani tu! Ukizingatia wazazi wake wanamlinda sanaaa! Kiasi cha kutomruhusu kwenda tuition! Ruhusa anayopata ni kuita wanafunzi wenzie na kujadiliana masomo ndani kwao! Kwa vile yeye (huyo ke) na mimi ni majirani, hapati kikwazo cha kuja home na kumfundisha. Baadhi ya siku anakuja peke yake baadhi ya siku anakuja na wenzake!
TATIZO
Ananiletea story za kimapenzi punde baada ya lecture! Sometimes mi najadili mada yeye katoa mimacho tu! Hayupo kabisaaa! Mimi nilimwambia tayari nina Mchumba!
Kiufupi simpendi (kimapenzi)! My nimpendae yuko mbali, nahisi nitashindwa kuvumilia! Sitaki kuondoa uaminifu wangu kwa wazazi wake! Nahisi sio sahihi kuwaambia wazazi wake!!!!
...
Naomba wale walimu, hata watoa huduma wengine waseme wanakabiliana vipi na issue kama hizi.
Nyote mnakaribishwa!