Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

Status
Not open for further replies.
Usisahau kupitia pitia mitaa ya mlabani, kwa shungu, lumemo, kibaoni, Lumemo, Ifakara, Jongo, Mhola,,,ukiwamaliza huko nenda na kining'ina katindiuka, kikwawila ukimaliza huko utakuwa umebaki kama njiti ya kibiriti
Unamaanisha nn
 
Acha kuwa km ngoswe penzi kitovu cha uzembe umeenda kazini unachanganya na wanawake utakoswa kazi ohoo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom