SOLOMON TAMIRU
Member
- Jul 25, 2019
- 8
- 6
Inaangaliwa pia consistency...Kama alikuwa anapanda na kushuka kwenye ...na kuna mwamba yeye alikuwa anamaintain and above hata wakilongana huyo mdogo wako hawezi kuwa best ...na vigezo vingine kama marks scores and so onje iyo 4.7 ni kwa wastani wa miaka yote mitatu/minne?
habari chini ya kapeti, inabidi iwe above or equal 4.8
Hata kama kasoma Petroleum anaenda BOT?Hajaitwa BoT bado? UDBS best students 2018/19 wapo BOT tayari!
Hapo kasema UDBS. Unaelewa maana ya UDBS?? Maana mnapenda kuchangia bila kujua maanaHata kama kasoma Petroleum anaenda BOT?
Habari watanzania,leo nimekuja na hili swali,maana limenichanganya kidogo.Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT.Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi huzingatiwa kumpata BEST STUDENT chuo kikuu,kwa mimi ninavyojua ni GPA iwe kali kushinda wenzako wote.Ahsanteni
Unajuaje Kama hakuna mwingine main campus, DUCE na MUCE ?Habari watanzania,leo nimekuja na hili swali,maana limenichanganya kidogo.Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT.Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi huzingatiwa kumpata BEST STUDENT chuo kikuu,kwa mimi ninavyojua ni GPA iwe kali kushinda wenzako wote.Ahsanteni
Hili ni moja but lingine la maana zaidi wanaangalia average of accumulated figures..Inawezekana mtu kapata 4.7 leo ila miaka ya nyuma alipata 3.8 na 3.9! Wakati mpinzani kapata 4.5, 4.7 & 4.8 respectively.Swali zuri sana wanaweza wote wakawa na GPA moja ya juu sawa let say 4.9 sasa ikifikia hapo GPA zinaweza kuwa sawa lakini bado wakatofautiana kwa jumla ya marks.Nikupe mfano mdogo 80 hadi 100 zote zinaweza kuitwa daraja A lakini huyu aliyepata 81 na aliyepata 95 wote wako daraja moja la A na GPA zikawa sawa lakini marks zitakuwa tofauti
😂😂kwani UDBS wanatoa course ya petroleum?Hata kama kasoma Petroleum anaenda BOT?
Hilo nalo neno.Una uhakika gani yeye ndo mwenye kubwa?
yani kusiwepo na 4.8 kweli UDSM
Unajuaje Kama hakuna mwingine main campus, DUCE na MUCE ?
Wanaingia aisee na jamaa yangu alipewa laptop baada ya kuwa best student wa udsm Ila alitokea MUCEDUCE na MUCE hawaingii katika ushindani wa best student na Mlimani Campus.
Mkuu, mwanafunzi aliyehitimisha masomo yake, miaka mitatu au minne n.k GPA yake inayozungumzwa huwa ni ''cumulative GPA'' (GPA jumuishi) inayojumuisha matokeo ya miaka yote.Hili ni moja but lingine la maana zaidi wanaangalia average of accumulated figures..Inawezekana mtu kapata 4.7 leo ila miaka ya nyuma alipata 3.8 na 3.9! Wakati mpinzani kapata 4.5, 4.7 & 4.8 respectively.
Utaona kabisa mpinzani kayumba mwaka wa mwisho ila average yake iko juu!
Wanaingia aisee na jamaa yangu alipewa laptop baada ya kuwa best student wa udsm Ila alitokea MUCE