Ni zipi fursa za corona kibiasha kwa Watanzania wafanya biashara?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Binafsi nimeona bidhaa zinazotoka china zimepanda bei, wauzaji wakisingizia, au labda ni kweli kwamba viwanda vimefungwa, hivyo wanauza stock wakiwa hawajui mwisho wa tatizo , kuna watu watatajirika kutokana na huu ugonjwa.

Wadau
Ni nini kingine unakiona kama fursa kutokana na na huu ugojwa? Hizo mbwembwe nilizo sema hapo juu , binafsi nimeziona kama hao wafanya biashara wameona fursa so wanazitumia ipaswavyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fulsa ipo kwa wazungu tu wanasubir huu ugonjwa usambae dunian kote watangaze wamepata dawa waanze kuingiza mtonyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ina maana hujui kuwa viwanda vingi huko China vimesitisha au kupunguza uzalishaji wa bidhaa kwahiyo wafanyabiashara waliokuwa wakilangua bidhaa zao China hawana ujanja zaidi ya kupandisha bei bidhaa walizo nazo stock
 
Back
Top Bottom