Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

hahhaha msinicheke wadau ndio maana tuko humu kuelimishana...well thanx jmn vingi mmeniambia nafanya kwakweli then mume wangu must b proud 2 have me.:tonguez::teeth:
 
hahhaha msinicheke wadau ndio maana tuko humu kuelimishana...well thanx jmn vingi mmeniambia nafanya kwakweli then mume wangu must b proud 2 have me.:tonguez::teeth:
hebu sema huwa unamfanyia nini? tuone kama upo sawa ..
 
zamani wakati naanza maisha, pamoja na my waifu wangu kunipa unyumba mzurii na kuwa mwaminifu, alinishauri kujibana hadi tukajenga nyumba kubwa sana baada ya kula mchicha na dagaa kwa muda mrefu...nilipokuja kuwa na nyumba yangu sasa sipangi tena, pesa iliyokuwa inapatiikana ikawa nasave afu tunajenga lodge na tunaingiza hela ile mbaya....ukibahatika kuoa mwanamke mwenye akili kitandani na nje ya kitanda, utapata raha sana aisee.
 
Kubwa ni heshima kwake na ndugu zake,uvumilivu,hekima ya hali ya juu unapotokea mkwaluzano baina yenu,usiwape marafiki nafasi ya kujua kila mnalo panga na kufanya wewe na mumeo au kujua matatizo yenu.Kuwa mbunifu katika swala zima la sita kwa sita,msaidie katika swala zima la uchumi hasa kumshauri katika matumizi yaliyo ya manufaa kwa familia,mwisho umshauri kufanya ibada.Hizo ndo zawadi nzuri kama unataka ndoa idumu sio maua,kadi na boxa na surprise za bethidey,hizo ni minor.Hizo zifanye baada ya hizo za juu.
hajira umenena vyema sana, but huwa kuna wakati ambapo mke hulazimika kutoa zawadi in form of material thing just for certain occasion na pia kama kitu cha kukuza penzi.

siku zote zawadi hununua mtu asikwambie mtu na ndo maana hata leo watu weng sana wana vutwa kwa vijizawadi tu. kama mama utatimiza wajibu wako kwa ueo ipasavyo na ukaongezea haya ya zawadi ni dhahiri utakuwa na nafasi kubwa sana. labda nikwambie faida za kutoa zawadi in materials
a)hununua moyo wa mpokeaji na kukukumbuka zaid
b) huonyesha ukarimu ulionao juu ya uhusika
c) huongeza thamani ya mapenzi
sasa basi kwa mtu anayetoa zawadi lazima ajue anaitoa kwa nini? na wakati gani? usije ukaitoa kwa mumeo kana kwamba unamuhonga.

mathalani unaish na mume na labda kasafiri for a year or two basi ni vyema kumuandalia zawadi kulingana na moyo wako na uwezo wako siku atakaporudi umpe. ninamin huyu mume hatoweza kuisahau kabisa hii zawadi. au labda kapata cheo au kafanikiwa kwenye jambo fulan hii huwa ni alama kwake.

mtoa mada nisamehe sijaweza kupropose la naimejikuta naonyesha kwnini tutoe zawadi na kama siyo mahali pake basi MODS muitoe hii post
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom