Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

Aisee niko poa, kimtindo nilikumiss sana wangu, wanasemaje huko pande za paradise? Ngoja nikunong'oneze hivi hatujachakachukua kweli huu uzi wa Gaelle? :biggrin:
sidhani si tumemjibu fersh tu jamani ama?
 
kipochi cha utamu ....
ndo icho tu wanaume wanapenda..
hivo vingine utajisumbua bure...

Duh!..nimecheka kwa sauti! lol!..lakini hiki si kinakuwepo kila siku?
Manake zawadi tamu ni ile usiyoiwazia!
 
hicho hicho

Mhh, basi kumbe mi niko tofauti, kunipa kipochi bila heshima, upendo, adabu, uaminifu ..... sidhani kama ni zawadi tosha! Nafikiri ni combination ya zaidi ya kipochi ....
Waweza kupata kipochi wakati kumbe hata jirani zangu pia wanapewa kipochi hicho hicho, sasa ni zawadi ya maana kweli kama inagawiwa na kwa wengine? Uaminifu, na mengineyo yanahusika sana!
 
pelekeni ufirauni wenu huko tena mshindwe na mlegee
Acha fitna wewe kwani tigo ni mafirauni,mbona wewe unatumia tena xtreme msg 100 bure,50mb,15min sijui nanini tenaa alafu unawaita mafirauni,jiheshimu wewe,au ndio unataka kutufiraunishaa?
 
Acha fitna wewe kwani tigo ni mafirauni,mbona wewe unatumia tena xtreme msg 100 bure,50mb,15min sijui nanini tenaa alafu unawaita mafirauni,jiheshimu wewe,au ndio unataka kutufiraunishaa?

ahahaaaa aya bwana yaishe wkend hii tule kwa amani
 
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx

Vingine ni haki yangu kama mumeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom