Amigo.....Mwalimu wangu asante kwa kuniongezea marks na kunitetea ofisini kila nilipokuwa nakamatwa.
AmigoAmigo.....
Kwahiyo huyo unae mshukuru ndio shemeji wangu mie hapa....
Basi sawa, maana bila hivyo hapa pange chimbika na huyu my waifu wako wa humu ndani....Amigo
Huyu keshaolewaga bwana.
Unamaswali mujarabu
HahahaBasi sawa, maana bila hivyo hapa pange chimbika na huyu my waifu wako wa humu ndani....
Kumbe na wewe upo huku???Wallet ya sh 50,000..ambayo iliambatana na maneno haya"Martha unanivumilia mengi nimeamua kukutunuku hii zawadi"