Ni zawadi gani nzuri uliwahi kuipata kutoka kwa mwandani wako?

Hahahahaaa, Boxer ya Man u, nakumbuka siku hiyo tulikuwa na mtoko, akaniletea na ujumbe (Vaa hii bby) sasa kimbembe haikunitosha, ilinibana vibaya, lkn kutokumkwaza niliivaa hivyo hivyo. Na nikamshukuru sana tu, now yapata miaka 6 lkn steel naiona kama mpya maana ina historia ndefu
 
Back
Top Bottom