Ni Zanzibar ipi wanaitaka?


Si wawape uhuru wao jama isitoshe hati ya muungano haipo na wasiwalazimeshe wasilolipenda walipende!
 
Dhambi ya ubaguzi itatutafuna tusipoangalia. Unakuwa hili swala la Utanganyika na Uzanzibari tusipoangalia utatumaliza bila ya sisi kujua. Baadhi ya wanasiasa wanatumia uelewa mdogo wa wananchi kuhusu muungano vibaya.
 
Leo Lumumba hali ilikuwa hivi jee Muungano mnautaka au hamuutaki? hilo ndio jibu la wa Zanzibari hapo wasioutaka wanyooshe mikono .
Nani sasa alikuwa anahesabu mikono ya wasioutaka? Halafu mbona wamenyoosha mikono miwili miwili, haiwezi ikawa dalili ya kuwa wasioutaka ni wachache?
 
a maana karume alikuwa hujui kusoma au ?

Ukisoma historia ya ukombozi bara la afrika kasi ya Nyerere na akina Kwame Mkuruma, na Yule rais aliyepinduliwa na Mabutu kule zaire na baadhi mtaongezea wenyewe wimbi la kuifanya Afrika shirikisho lilikuwa moto sana. Viongozi wachache waliokuwa vinara wa kuchora taswira ya shirikisho la Afrika kama Nyerere aliamua kuanza na nyumbani nchi ambayo ilikuwa bado changa kujenga mwanzo huo. Utakuwa jumuiya ya Afrika mashariki ilikuwa kama chachu ya kujenga shirikisho kutanuka lakini tofauti za kisera na ubinafsi ndizo zilizofanya azima hiyo kutotekelezeka. Mambo yalipomshinda Nyerere ndipo alipogeukia kuijenga nchi ya Kijamaa kushindana na washindani wake akina Kenyata.
 
naunga mkono kutengana na wazanzibari... wamechakachuliwa sana na CCM kwenye chaguzi tatu zilizopita, wakikaa kimya basi ni mabwege

kuna yule rais wa bara aliua wazanzibar wengi 2001 baada ya uchaguzi. isingekuwa bara ccm isingekuwa zanzibar. ccm ndo inaleta maafa zenji. waipinge ccm na muungano wao kuanzia wa nchi hadi vyama. mtaunganishaje vyama vyetu? Muungano ukifa hata ccm itakuwa umekufa.
 
nafikiri tatizo ni hawa wamiliki wa muungano kuogopa wazanzibar na watanganyika kujadili aina ya serikali waitakayo katika muungano,tatizo hili limezaa tatizo jipya kwa sasa wazinzabar wanahitaji kura ya maoni kwanza ili kujua kuwa muungano wanauhitaji ama la! Hivyo kama wanauhitaji ndo watakuja kujadili muundo wa muungano wenyewe.

MY TAKE;Tuache uoga swali hili linajadilika tulipe mdahalo wake ili tupate tunachokihitaji kwa pande zote mbili.
 
walau wao wanapinga hii kitu wazi wazi

sie tumekuwa waoga kama panya vile

CHADEMA toeni tamko kuhusu hili

swali la kizushi

hati za muungano kwa nini zinafichwa?

kwa niin sherehe za muungano hazifanywi zanzibar?

Zikifichuliwa itakua sooo, huenda ikagundulika Jmt imeidhulumu zanzibar na hivo kutakiwa kuwalipa hela zao kwa kuwadhulumu!
 

Dah kweli hujui kitu ndugu, hebu nambie, tarehe ya muungano wa kisiwa cha unguja na pemba? Sujawahu kuona wakisherekea iyo siku.... Hivi kuna muungano wa Arusha na Dar es salaam?
 

.....Ndugu yangu umeuliza swali zuri sana,lakini naomba kuuliza kwa wana JF,kwa hawa jamaa zetu wa znz waishio huku kwetu T.bara waanze kuomba Uraia wa bara kabla ya hao wanaodai zanzibar yao?maana wakishavunja muungano hawa ndugu zetu watakwenda wapi?Unguja au Pemba?
 
Tunataka Zanzibar ya Wazanzibari ambyao itajiamulia Mambo yake na Haitachaguliwa mamluki kutoka Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…