Ni yupi utakayempa mkwanja kwanza?

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Kati ya hawa ni nani utakeyempa shillingi kwanza?

385582_533789279979985_813830875_n.jpg
 
Nampa nyau...mana hiyo style yake tu anaonekana njaa umembana

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
hahahahahahah lol! mie nilivyoiona kwa mara ya kwanza wala sikutia neno niliamua kuminya tu :)...bora weye umeamua kumwambia. Mtafutie nyingine chapchap :)...ila kulikuwa na nyingine jamaa kapikwa kisu kichwani kwa nyuma kimetokezea usoni yaani ilikuwa inatisha sana, sijaiona kipindi sasa.

siyo kawaida aiss macho hayo,na huo mdude mweusi uliojifunika kha!!!ngoja nitakutafutia nyingine utaipenda,ubadili hiyo!!!!
 
hahahahahahah lol! mie nilivyoiona kwa mara ya kwanza wala sikutia neno niliamua kuminya tu :)...bora weye umeamua kumwambia. Mtafutie nyingine chapchap :)...ila kulikuwa na nyingine jamaa kapikwa kisu kichwani kwa nyuma kimetokezea usoni yaani ilikuwa inatisha sana, sijaiona kipindi sasa.
hiyo ya kisu niiwahi kuiona nikashituka pia!sijui watu wanapenda vitu vya kutisha!
 
Khaa mambo ya toa ndugu barabarani siku hizi nimeacha kabisa baada ya kuambiwa baadhi yao wanachezea hela zetu!!! Sometimes ni kweli!!!! ukitoa unaanza kupata balaa la kutumia hela bila mpango, kumbe zinaondoka kimazingira!!! Wengi wao wameshakiri makanisani na mbinu zinazotumika!!! Kuna una ziada peleka kwa wajane na yatima wahitaji, ndiyo dini safi.
 
Back
Top Bottom