Kwanini fedha nyingi zinatumika kumsifia na kumpamba Rais hata asiyohusika?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,801
71,226
Naona vituo vya Radio eg Wasafi na magazeti kibao ziko dalili za kupokea mkwanja ili kumsifu hata asipo stahili Rais wetu?

Sasa anapokosea nani atakuwa na uwezo wa kukemea atakaye.

Hii ni aibu!
 
Naona vituo vya Radio eg Wasafi na magazeti kibao ziko dalili za kupokea mkwanja ili kumsifu hata asipo stahili Rais wetu?..
Mkuu, biblia inasema, kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka, kuna wakati wa kulima na wakati wa kuvuna, sasa huu niwakati wa kusema, subiri utafika wakati wa kunyamaza, nikuulize swali rahisa?

Yako wapi Magazeti ya Musiba? Haya magazeti hutoweka muda mfupi tu, kwani kwakusifu huko haya nunuliki hivyo kujikuta yakijiendesha kwa hasara mwisho kujikuta yakifa kifo cha 'TARATIBU'... wape muda...
 
Naona vituo vya Radio eg Wasafi na magazeti kibao ziko dalili za kupokea mkwanja ili kumsifu hata asipo stahili Rais wetu?

Sasa anapokosea nani atakuwa na uwezo wa kukemea atakaye.

Hii ni aibu!
Sasa hivi hata mvua ikinyesha bila kuleta madhara anasifiwa
Huko kwingine mahindi yanachanua anapongezwa yeye
 
Naona vituo vya Radio eg Wasafi na magazeti kibao ziko dalili za kupokea mkwanja ili kumsifu hata asipo stahili Rais wetu?

Sasa anapokosea nani atakuwa na uwezo wa kukemea atakaye.

Hii ni aibu!
Wenzio wanapiga pesa ndefu za matangazo
 
Acha husda, kwani kumsifu aliyefanya mambo kwa uzuri yakukera nini yakhee!, ama kusifu mtu kuna gharama gani yakhee?
 
Wafuasi wa Mwendazake a Cdm mnachukia sana Samia akisifia kwa utendaji wake. Mnahofia atafuta Legacy ya Jp. Acheni asifiwe imtie moyo afanye mazuri zaidi
 
Naona vituo vya Radio eg Wasafi na magazeti kibao ziko dalili za kupokea mkwanja ili kumsifu hata asipo stahili Rais wetu?

Sasa anapokosea nani atakuwa na uwezo wa kukemea atakaye.

Hii ni aibu!
Hiyo ni sehemu ya kampeni za uchaguzi wa mwaka 2025 hii haijalishi kwa CCM hata kama ni kwenda kinyume cha sheria za uchaguzi.

Yupo uwanjani, ameanza kukimbia peke yake katika shindano la mbio za riadha hata kabla ya washindani wenzake kupatikana au kufika uwanjani.

Kwa CCM mambo yote ya kipuuzi huwezekana!
 
Wanajua hakuna mtu anamkubali huyu maza
 
Back
Top Bottom