Ni yupi utakayempa mkwanja kwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni yupi utakayempa mkwanja kwanza?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Askari Kanzu, Sep 28, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kati ya hawa ni nani utakeyempa shillingi kwanza?

  [​IMG]
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Duh! Jamaa amekusanya familia nzima, hapo wote siwapi
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,003
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  hapati mtu kitu hapa....
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  khaa, roho ya kutu iyo!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,229
  Likes Received: 4,020
  Trophy Points: 280
  Mkuu Askari Kanzu kati ya wote mimi nitampa wa kwanza ni paka anatia huruma sana jamani muwaoneini huruma wanyama .Hii ni kali kuipata zote.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,951
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  mwenye nacho ataongezewa, mbwa ananekana ana mbinu nyingi za kusakanya, nitamuongezea..........
   
 7. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,130
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Aisee huyo nyau ndio kamaliza kabisa!
   
 8. MANI

  MANI Platinum Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,238
  Likes Received: 1,553
  Trophy Points: 280
  Staili ya marehemu mzee Matonya !
   
 9. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,755
  Likes Received: 683
  Trophy Points: 280
  Nampa nyau...mana hiyo style yake tu anaonekana njaa umembana

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 10. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,302
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Haa ha aa aha huyo paka anaonekana kachoka zaidi so nitaanza nae Ha aha aha aha
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  wote si wapi..
   
 12. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,216
  Likes Received: 5,391
  Trophy Points: 280
  mkuu Ipycalypse hiyo avatar yako huwa inanitisha sana!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,302
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Mbona kawaida kaka Zamaulid
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,302
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Mbona kawaida kaka Zamaulid
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,216
  Likes Received: 5,391
  Trophy Points: 280
  siyo kawaida aiss macho hayo,na huo mdude mweusi uliojifunika kha!!!ngoja nitakutafutia nyingine utaipenda,ubadili hiyo!!!!
   
 16. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,302
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Huyo wife mwenzio ha ha aha aha aha aha
   
 17. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,216
  Likes Received: 5,391
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha!!huyo atakuwa wako peke yako!!hatii timu mtu hapo!
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,071
  Likes Received: 38,204
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah lol! mie nilivyoiona kwa mara ya kwanza wala sikutia neno niliamua kuminya tu :)...bora weye umeamua kumwambia. Mtafutie nyingine chapchap :)...ila kulikuwa na nyingine jamaa kapikwa kisu kichwani kwa nyuma kimetokezea usoni yaani ilikuwa inatisha sana, sijaiona kipindi sasa.

   
 19. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,216
  Likes Received: 5,391
  Trophy Points: 280
  hiyo ya kisu niiwahi kuiona nikashituka pia!sijui watu wanapenda vitu vya kutisha!
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 786
  Trophy Points: 280
  Khaa mambo ya toa ndugu barabarani siku hizi nimeacha kabisa baada ya kuambiwa baadhi yao wanachezea hela zetu!!! Sometimes ni kweli!!!! ukitoa unaanza kupata balaa la kutumia hela bila mpango, kumbe zinaondoka kimazingira!!! Wengi wao wameshakiri makanisani na mbinu zinazotumika!!! Kuna una ziada peleka kwa wajane na yatima wahitaji, ndiyo dini safi.
   
Loading...