Wakufoji
Senior Member
- Jan 15, 2019
- 198
- 386
Binafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation)
Nimethibitisha
Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya WiFi kusababisha maumivu ya kichwa?
ila hahata kufikiria kwa mda mrefu hupelekea kichwa kuanza kugonga upande mmoja.
kwahiyo uchunguz unafaa uwe ni wa kitaalam zaidi.