Naomba kujua wimbo unaonsema najiribu kujiuliza bado cjapata jibu msichana Kama wew bado upo pekee yakoo oohhh baby somboraa somboraa haaa mwanaa sombaaa. Nyimbo inaitwaje ?
😂😂😂 wimbo unaitwa Tamala kaimba hardmad ft fatma
Naomba kujua wimbo unaonsema najiribu kujiuliza bado cjapata jibu msichana Kama wew bado upo pekee yakoo oohhh baby somboraa somboraa haaa mwanaa sombaaa. Nyimbo inaitwaje ?
 
Habar ngugu zangu
Kuna wimbo flani wa hiphop nautafuta sijajua unaitwaje ila Msanii aliyeimba kama sikosei ni Solo thang au Mr two.
chorus yake inasema

"Hata kama sina Mali sikati tamaa, Hata kama sina pesa sikati tamaa naamini ipo siku ntazipata"

Natanguliza shukrani.
 
Sijui kama ndio huu!!!!!!!!!!!!!!!
Habar mkuu
samahan mkuu
Kuna wimbo flani wa hiphop nautafuta sijajua unaitwaje ila Msanii aliyeimba kama sikosei ni Solo thang au Mr two.
chorus yake inasema
"Hata kama sina Mali sikati tamaa, Hata kama sina pesa sikati tamaa naamini ipo siku ntazipata"
Natanguliza shukrani mkuu
 
Kuna wimbo unasema "wengi wamelazwa hospitalini na kuwekewa P.O.P shauri yako Hawae,Hawae P.O.P aah P.O.P......"
Nani anakumbuka umepigwa na nani?
 
Wakuu mwenye wimbo wa maombolezo ya msiba wa Mwalimu Nyerere "Nenda mwalimu"
Wimbo huu uliimbwa na Mgunga Mwamnyenyelwa!!
 
Naomba kujua aliyeimba wimbo huu, baadhi ya mashairi yake ni "NIKIKUMBUKA MAPISHI YAKO KISAMVU CHA NAZI, HATA KAMA KILALE KICHACHE..." Mwenyekumjua muimbaji wa bongo fleva naomba jina niutafute youtube tafadhali
Bado nasubiria wajuvi
 
Wanatamani mi nishike niwe chini yao,sauti yangu kuzishinda zao.nadhan by wakali kwanza au mmoja wao
 
Naomba kibao cha brenda Fassie Kinaitwa BRENDA FASSIE - SUNGU LA LHUSTI"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…