Fredrick Haba
Member
- Jul 1, 2019
- 5
- 4
Ukipata Mda Pitia Threads Zote... Lazima Utaipata Tu... Ngoma Nyingi Sana Zimetupiwa HumuMwenye wimbo wa Makamua uitwao 'Wanatamani' (original version, acha ile remix walifanya 2 in 1 kati ya Wanatamani ya Makamua na Staili Gani ya Moz B) tafadhali nauomba wadau.
Nahitaji ile original ya Makamua mwenyewe.
Dooh boss shukrani ngoja niutafute humuWimbo unaitwa Kazeze Jamaa anaitwa OCG,,usearch hapa utaupata,tayali walishauweka hapa
Kuna nyimbo flan hiv cover ya halo ya beyonce ameimba mwanaume sjawah ipata asee
Ukipata Mda Pitia Threads Zote... Lazima Utaipata Tu... Ngoma Nyingi Sana Zimetupiwa Humu
Mkuu kioo hii ngoma ilishindikana kupatikana ya remmy ongala tabu na wewe?Tabu, tabu na wewe...! Shida na wewe...! Mateso na wewe...! Bahati mbaya na wewe...! Au...?
Mkuu kioo hii ngoma ilishindikana kupatikana ya remmy ongala tabu na wewe?
Kumbe nature kawah imba na mo.. Sijawahi isikia hii
Watengwa safari ndefu
Watengwa safari ndefu wakubwa naitafuta
Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
KIOO ebu jongea hapa huu wimbo hata mimi nimeutafuta sana Google sijaupata.