Nachechemea- Hussein Jumbe

Koza - Suka Chile&Defao

Help please

Daaaah, hiyo ngoma ya Generalè umenikumbusha mbali sana aisee.

Unaikalia tu politiki,
Asubuhi na mapema yote,
Kazi hautafuti, utakula nini,
Pooole salame na shengeneee,
Sikia mamboooo... Hatari sana mkuu...!
 

Attachments

  • Hussein_Jumbe_Nachechemea.mp3
    6.7 MB · Views: 101
  • General_Defao_feat_Suke_Chile_Chez_N'temba_Koza_Baba.mp3
    6.7 MB · Views: 110
Daaaah, hiyo ngoma ya Generalè umenikumbusha mbali sana aisee.

Unaikalia tu politiki,
Asubuhi na mapema yote,
Kazi hautafuti, utakula nini,
Pooole salame na shengeneee,
Sikia mamboooo... Hatari sana mkuu...!
Pamoja sana Mkuu

Hao washua walikuwa wanauvaa uhusika wa wanawake halafu ngoma inabamba vilivyo.

Again, Thanks mkuu
 
Unaitwa Ndaya! Umeimbwa na Mpongo Love....unaweza kuupakua kwenye sites mbalimbali mitandaoni.
 
Wakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale
Naomba mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA
Ktk albam yao ya ETAT MAJOR kama atakuwa nazo hata zote.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu
 
Asee ni wimbo wa cover ya "shida" sijajua ni nandy au msanii gani aliyefanya hii cover her voice so
nimetafuta had nimechoka mwenye nayo anambie asee naipataje
 
Kuna JAMAA WA mbeya walikuwa wanaitwa Wajukuu wa skeleton (WAWASKE) Kuna song linaitwa muda unakwenda mwenye Hilo song please
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965

Mwanangu Nimechelewa Sana Hii Kitu Ila Naomba Nisaidie Ngoma Ya
1: Umeondoka Mama Rmx Ya Afande Sele
2: Nimbo Za K Sal Yule Jamaa Aliyeimba Mkiwa Na Feruz Na Pia
3: Kuna Ngoma Moja Cjui Kaimba Nani, Ila Inaimbwa Hv.. Wanamwita Kaka Poa Huyu Jamaa, Wanamwita Mambo Safi Huyu Jamaa..

InCase Ukiiona Hii Nisaidie
 

Wee kweli New Member karibu sana JF...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…