Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,788
- 66,972
Nakutafutia mkuu.Nisaidie wimbo wa abdul misambano na raila khatibu ....niwe naweeee hadi milele ....nasema ukweliiii mpenzi ujueee ninavyo kughaaani............
Ndio..Banza stone kwani alshafariki? Ooooh oooh
Wema hawana maishaaaNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Usearch youtube upo
WAKUU,
KWA ATAKAYEUPATA "MWANANGU HUNA NIDHAMU" WA DUDUBAYA ANI_TAG.
Nakutafutia mkuu.
Dah nami nautafuta sana huoNakutafutia mkuu.
Hata mimi huwa nazikubali sana.Mimi natafuta nyimbo alizoimba hayati John Darmian Komba wakati wa Msiba wa Baba wa Taifa.
Huo wa kingzilla upo Youtube nadhani niliuona last weekNatafuta wimbo wa king zillah - my life
Darassa - weka ngoma
Kakolele ni wa krismass
Unatumia Pc au Simu?Mimi nina nyimbo nyingi kwenye pc yangu ila sijui jinsi ya ku-upload hapa jukwaani.
Naombeni mnifundishe ili kama kuna nyimbo zinahitajika kama ninazo niwape wadau.