Ni wimbo gani unaokuboa?

Ni wimbo gani unaokuboa?

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,551
Napenda kuwasalimu wana jf ASALAAM ALEYKUM na wengine BWANA YESU APEWE SIFA. Kwa upande wangu wimbo ambao kila ninapousikia unaniharibia siku ni wimbo wa Bony Mwaitege unaokwenda kwa jina "njoo ufanyiwe maombi" na sababu kubwa ni kwamba unahamasisha watu kuamini juu ya binadamu wenzao kuponya kimiujiza. Swali la kujiuliza kama wanaombea, ili yule anayeombewa apone anatakiwa awe na imani, sasa kama anaimani na MUNGU ndo yuleyule kwa nini wasihamasishe watu kuomba wao wenyewe ili waponywe? Maana mungu anasema ombeni lolote kwa jina langu(YESU) nanyi mtapata. Handsome wa mama nawasilisha kama ifuatavyo.
 
chama chetu cah mapinduziiiiiiiii chajenga nchi.....chama chetu chamacha mapinduzi chajenga nchi....lowasa ahhhhh rostam wajenga nchiii....chengeee ahhhh ngeleja jairo wajenga nchiiiiiiiiiiii...tatahh ....tahaaaaa...:eyebrows:!!!!!!!!!!
 
ahh mwita ilo song la ukweli bana...unajua step zake za kucheza?
unafanya km unapanda/unaendesha baiskel then unajikunja kikuku kuku bas ahhh raha tu....kwenye koras unaachia huno kdg bas dah burdan toshaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....:focus:
 
....naenda kumwambia mama, yule dogo naona anaongea mambo yaliyomzidi umri..!
 
wimbo wa kepten Komba wa miaka 50 ya uhusu na ule wa Flora Mbasha wa miaka 50 ya uhuru pia
 
ahh mwita ilo song la ukweli bana...unajua step zake za kucheza?
unafanya km unapanda/unaendesha baiskel then unajikunja kikuku kuku bas ahhh raha tu....kwenye koras unaachia huno kdg bas dah burdan toshaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....:focus:

Melody ni nzuri lakini content upupu mtupu. Tangu lini KUKU anapanda baiskeli.
 
Lol! Kakugusa eeh? Uache hizo sasa

hehe, we huoni kwamba akimweleza mamake ndoa inaweza kuvunjika, na still yeye ndo akapata tabu zaidi? Wahenga hawakukosea kusema watoto wasipende kujiingiza kwenye magomvi ya wazazi..!
 
sitaki tena kuumizwa na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu.....
 
Back
Top Bottom