Ni wimbo gani unaokuboa?

Ni wimbo gani unaokuboa?

Jaman mi wimbo wa bob junior na nuru"ANDAZI" yan huwa nikiuckia nahc kichefuchefu.afu na wimbo wa upoje nae yule wa nani cjui kamshirikisha maunda!yan nikiuckia nachange channel.nalog off kama washawasha
 
Napenda kuwasalimu wana jf ASALAAM ALEYKUM na wengine BWANA YESU APEWE SIFA. Kwa upande wangu wimbo ambao kila ninapousikia unaniharibia siku ni wimbo wa Bony Mwaitege unaokwenda kwa jina "njoo ufanyiwe maombi" na sababu kubwa ni kwamba unahamasisha watu kuamini juu ya binadamu wenzao kuponya kimiujiza. Swali la kujiuliza kama wanaombea, ili yule anayeombewa apone anatakiwa awe na imani, sasa kama anaimani na MUNGU ndo yuleyule kwa nini wasihamasishe watu kuomba wao wenyewe ili waponywe? Maana mungu anasema ombeni lolote kwa jina langu(YESU) nanyi mtapata. Handsome wa mama nawasilisha kama ifuatavyo.
We hujui kuwa 'YESU' ni brand !?
 
Melody ni nzuri lakini content upupu mtupu. Tangu lini KUKU anapanda baiskeli.


ahhh wewe iweje uchukulie kuku as a kuku?
lugha ya picha iyo ebu sugua kichwa kdg utajua km ni kuku au bata
 
Back
Top Bottom