ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,580
- 56,800
Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones
Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.
Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.