Ni Wezi na Hawajasajiliwa, Kwa Nini Wanaendelea Kuchimba na Kuuza Dhahabu?

Nadhani wameachwa ili washughulikiwe taratibu,walipe walichoiba,wapigwe faini huku ajira ikiendelea na ile hadhi ya kujali na kuthamini wawekezaji iendelee kuwepo! Kwakuwa idara zote za serikali zimeambiwa zilifanyie kazi haraka basi nisahihi ilivyoshauriwa na tume.
Hili jambo ninyeti sana na linafatiliwa na wawekezaji wakubwa duniani kote,haihitajiki kulikurupukia Kama tunavyosema kilasiku rais asikurupuke.
Mbona mnaogopa wawekezaji wa dunia
 
Back
Top Bottom