Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,520
- 830,033
Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa
Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA
Nje ya CHADEMA kuna mipaka mingi sana iwe CCM ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja
Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa
Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani
Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupotea😀 .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka
Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani