TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,920
- 11,322
Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa mwanaume kutoka nje kunategemeana sana na pesa. Mwanaume mwenye pesa (relatively) is likely to cheat kuliko yule ambaye ni choka mbaya!! Hii ni kwa sababu ili utoke na binti wa nje unahitaji vijisenti kwa ajiri ya kinywaji, kuku wa kuchoma, air time kwenye simu yako ili uwasiliane na mtoto, hela ya hotel (chumba) na kisenti kidogo cha 'rushwa' kwa mabinti wapenda pesa.
Thanks Mkuu... sasa na wale wanaochapa mahausgeli je?