Ni wazo tu jamani..... msinijie juu!

Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa mwanaume kutoka nje kunategemeana sana na pesa. Mwanaume mwenye pesa (relatively) is likely to cheat kuliko yule ambaye ni choka mbaya!! Hii ni kwa sababu ili utoke na binti wa nje unahitaji vijisenti kwa ajiri ya kinywaji, kuku wa kuchoma, air time kwenye simu yako ili uwasiliane na mtoto, hela ya hotel (chumba) na kisenti kidogo cha 'rushwa' kwa mabinti wapenda pesa.

Thanks Mkuu... sasa na wale wanaochapa mahausgeli je?
 
Lakini katika hayo yoote mwisho wake hakuna sababu inayohalalisha kutoka nje.Yote ni dhambi tu.Na kama Geoff alivosema ni maamuzi ya mtu mwenyewe,kwani kila jambo lina solution.Na hakuna cha kusema eti shetani alinidanganya.ni wewe mwenyewe umeamua kufanya dhambi.

Mchumba leo umeamkia upande gani? Unaachia point mpaka machanganyikiwa. Ila masahihisho kidogo kwenye hiyo red. Shetani huwa hadanganyagi mtu kufanya dhambi ya zinaa. Huwa ANASAIDIA. Mi alishanisaidiaga sana kipindi cha nyuma.
 
Hahahahahaaa,kwenye hiyo red you said it well ,na ndio maana biblia inasema ikimbieni zinaa kama Yusufu,zinaa haingalii huyu ni padri au shehe au mtakatifu nani sijui.Na kwenye bluu nadhani siku hizi umeacha kwa vile umenibamba mimi si ndio mpenzi wangu?
 
You have said in a true side of it.
 
shemeji naona malavidavi yamekuzidia kwa mtoto zd.unadata na dreadz sio?:D

Hahaha! We mwenyewe si uliona natural black beauty? Mpwa Fidel alikuwa anajing'ata ulimi pale. Hahaha! Umenikumbusha rasta za baunsa YoYo! We mkali kwa kumbukumbu.
 
Hahaha! We mwenyewe si uliona natural black beauty? Mpwa Fidel alikuwa anajing'ata ulimi pale. Hahaha! Umenikumbusha rasta za baunsa YoYo! We mkali kwa kumbukumbu.
hahahahahah!:D:D
ataendelea kula kwa macho
 
kutoka nje ni HULKA TU MTU!

kuridhishana ni state of oneself mind.i mean kila kitu kinaanzia kwenye brain.ukiamua kuridhika unaridhika tu.ukiamua kuto ridhika ni the same case!

ukiamua kivipi sasa? mapenzi ya kuku nayo niridhike kwa kuamua?...na MJ1 wao wanasemaga kwa mdomo tu humu lakini utendani ndo ule ule umedhorota, wanaona wajibu ni sie tu kuwaridhisha....
 
ukiamua kivipi sasa? mapenzi ya kuku nayo niridhike kwa kuamua?...na MJ1 wao wanasemaga kwa mdomo tu humu lakini utendani ndo ule ule umedhorota, wanaona wajibu ni sie tu kuwaridhisha....

Hahaha! Habari za asubuhi mama. Naona leo umechelewa kidogo. Foleni mbaya sana.
 
Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa mwanaume kutoka nje kunategemeana sana na pesa. Mwanaume mwenye pesa (relatively) is likely to cheat kuliko yule ambaye ni choka mbaya!! Hii ni kwa sababu ili utoke na binti wa nje unahitaji vijisenti kwa ajiri ya kinywaji, kuku wa kuchoma, air time kwenye simu yako ili uwasiliane na mtoto, hela ya hotel (chumba) na kisenti kidogo cha 'rushwa' kwa mabinti wapenda pesa.

mie nadhani cku hizi haihitaji uwe nazo au laa, huyo mwenye pesa za mawazo ataondoka kwake asubuhi kama anatoka ****** vile, haachi hata sumni ya ugali anabania apeleke kwa nyumba ndogo, nyie wanaume nyie dawa yenu inachemka.....
 
ukiamua kivipi sasa? mapenzi ya kuku nayo niridhike kwa kuamua?...na MJ1 wao wanasemaga kwa mdomo tu humu lakini utendani ndo ule ule umedhorota, wanaona wajibu ni sie tu kuwaridhisha....
mzima weye?
kwa hiyo unapenda sana mikiki-mikiki?
 
Kutoka nje mara moja inaongeza chachu ya mapenzi ndani ya nyumba utakulaje ugali kila siku?
 
HApo ndipo ninapopataka mimi. Haya mambo ya eti bwana fulani kaamua kuwa na nyumba ndogo kwa vile mkewe hamridhishi mie siyaelewi. Ndo mana nikauliza hivyo kwa sababu kwa hali ya kawaida kama mwanamke anafikishwa kunako kwa maana ya kuwa mziki wa mwenzake unamdatisha si ina maana hatakuwa anawatamani mwengine? kwa hivo akitoka nje ina maana mumewe/bf wake ameshindwa kumdatisha vilivyo au siyo?

na ukidatishwa mara moja kwa miezi 2 nayo utaita kudatisha?
 
ukiamua kivipi sasa? mapenzi ya kuku nayo niridhike kwa kuamua?...na MJ1 wao wanasemaga kwa mdomo tu humu lakini utendani ndo ule ule umedhorota, wanaona wajibu ni sie tu kuwaridhisha....[/QUOTE]
Hapo sasa na ndo zinapoanzaga sentensi za umebadilika siku hizi. Mie kusema kweli mapenzi na mapendo hata siyaelewagi mwenzenu sijui lipi jema lipi baya ah!
 
sasa nyamayao ilifikaje mpaka ukawa unadatishwa mara moja kwa miezi miwili?
au `juhudi` zako ziligonga mwamba? :D
 
Back
Top Bottom