Ni wazi Watanzania wote wameanza kuwaelewa Chadema, TEC na wengineo

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,072
Sasa ni wazi kila mtanzania anaelewa wazi matamko ya kina Mwambukusi, Dr Slaa, Mdude, Chadema na TEC!

Sasa hivi wote tuna nena lugha moja wote tunaongea lugha moja na wote tumeanza kuelewana na sote sasa tumeanza kuwa na utulivu na sote tuna tafakari!

Sote kuanzia wafanyakazi wa bandari na watanzania wote tunaongea lugha moja kabisa na tunaelewana!

Nina hakika kwa mara ya kwanza Chadema na TEC na wakina Mwambukusi wanaweza ombwa msamaha hata kimoyo moyo!

Ashukuriwe Mungu ambaye aliumba neno “wakati” “muda” tuliona ni mbali sana lakini hatimaye sote tuna nena lugha moja!

Wanasema nyakati zitatupa mambo mengi tuvumilie na sasa zimeanza kuzaa matunda!

IMG_2100.jpeg
 
Sasa ni wazi kila mtanzania anaelewa wazi matamko ya kina Mwambukusi,Dr Slaa,Mdude,Chadema na TEC!

Sasa hivi wote tuna nena lugha moja wote tunaongea lugha moja na wote tumeanza kuelewana na sote sasa tumeanza kuwa na utulivu na sote tuna tafakari!

Sote kuanzia wafanyakazi wa bandari na watanzania wote tunaongea lugha moja kabisa na tunaelewana!

Nina hakika kwa mara ya kwanza Chadema na TEC na wakina Mwambukusi wanaweza ombwa msamaha hata kimoyo moyo!

Ashukuriwe Mungu ambaye aliumba neno “wakati” “muda” tuliona ni mbali sana lakini hatimaye sote tuna nena lugha moja!

Wanasema nyakati zitatupa mambo mengi tuvumilie na sasa zimeanza kuzaa matunda!

View attachment 2943291
Nchi imejaa matapeli na wapiga dili tupu
 
"Wafanyakazi wachague kujiunga na DP world au.....!".yale yaliyokuwa yanasemwa na kupingwa na Viongozi ndio yanaenda kutokea.
 
Back
Top Bottom