Itakuwa una ukaribu sana na mafisadi au ni Fisadi mwenyewe.John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..
Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo...
Kwanini Magufuli munamuogopa?Slaa and Lowasa are ok, but Magufuli can fit best to the position of PM but not a president.
Nimeipenda sana hii ingawa Binafsi Ningependa sanaWanaofaa hawajulikani.
Wanaojulikana hawafai.
:cheer2:Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:
1. Edward Lowassa
Namkubali ni Mchapa kazi na mwenye uwezo wa kuchukua maamuzi magumu, ingawa ......:confused2:
2. John Magufuli
Huyu anafaa kazi za utendaji zaidi km U PM unamfaa sana kwa kuwa ni mfuatiliaji anafuatilia hadi nukta ya mwisho.
Anajua urefu wa barabara zote za TZ, zenye lami na zisizo na lami.
3. Dr. Slaa.
Yuko Poa ila natakiwa awe na PM mchapakazi na apunguze jazba za kisiasa:bowl:
Wengine ni porojo tu.
Sidhani kama anaogopwa, lakini ninadhani kwamba hana simile. Anapaswa kuwa mtendaji, kwa maana ya kwamba akitoa kauli kwa kukurupuka, basi Rais awepo kwa ajili ya kuirekebisha. Ni mfuatiliaji sana na anataka mabadiliko ya haraka kwa kila jambo. Hana simile, sasa mambo mengine hayawezekani kwenda hivyo.Kwanini Magufuli munamuogopa?
Duh, mkuu unamfahamu vizuri Rwaitama wewe au unamsikia tu? Alishindwa kuongoza UDASA ndo ataongoza nchi? Hata umpe kijiji hawezi kuongoza. Yeye ni political analyst na si kiongozi!Nimeipenda sana hii ingawa Binafsi Ningependa sana
1.Dr. Azaveri Rwaitama wa UDSM au
2.DR. Dau wa NSSF
Hawa wawili ni madokta wa ukweli. sasa huyu Lowassa sio dr. asomee hiyo PhD asije akajipatia ile feki kama ya jmkHapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.
Wengine ni porojo tu......
Ikiwa ni ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa rais kwa vile hakuna mabadiliko yoyote yatatokea kiutawala endapo ni CCM itaendelea kutoa marais. Hata ungemleta Obama akawa mgombea wa CCM angekula na serikali ya wala rushwa tu!
Nasubiri mjadala wa nani anafaa kuwa rais baada ya kujibiwa ni chama gani anawakilisah!
......
Wengine ni Dr. Abdalah Kigoda, Hamisi Kagesheki na Hawa Ghasia......
John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..
Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo...
Tatu bora yangu:Ukifuata hotuba za NYERERE , SLAA hafai kabisa, ukija na dhambi ya ubaguzi, dhambi hiyo haitakuacha, Rais anayepata ushauri kwa mke wake hatufai kabisa.
Umenena kaka, na kwa EL weka DR SALIM..Ondoa namba 3, weka ZITTO ZUBERI KABWE. Babu amebakiza siasa za kukashfu tu hana tena sera huyo.