Ni wapi tena kuliko na matunda ya bei nafuu zaidi ya Kakonko mkoani Kigoma?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Leo ni siku ya nne nikiwa hapa Kakonko mkoani Kigoma. Leo Jioni nimepita sokoni nikakuta matunda, hasa ndizi na parachichi, ni bei nafuu sana.

Parachichi 2 sh 500/= na ndizi 6 mbivu nimeuziwa shilingi mia tano.

Nilikotoka, ndizi 1 huuzwa sh 200/= , na parachichi 1 huuzwa kuanzia 500/= hadi 1,000/=.

Hii haiwezi kuwa fursa ya kibiashara? Sijajua hasa wanakotolea matunda husika, lakini, nashawishika kuamini kuwa ni humu humu Kakonko.

Kwingineko matunda mnauziwa bei gani? Wajasiriamali, angalieni kama hiyo inaweza ikawa ni fursa au la! Nawasilisha.

IMG_20230916_203223.jpg
 
View attachment 2751439
Mkuu hongera naomba namba yako ya WhatsApp tuwe tunabadilishana Vitabu vya kusoma Mkuu
 
Hata huku kwetu lushoto bei ni hzo hzo,parachichi ni 100,ndizi ni 100.
Ila sasa kwenye biashara kuna gharama za usafirishaji na pia unaweza ulete gari la matunda liko foleni ikifika zamu yako matunda menvin3e yameoza hasara tayari.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa mjini moshi nimejisahau kwamba niko nje ya dar kwamba na bei ya vitu inabadilika
Nikazipenda ndizi nikamwambia nipe za miatano naona mama anahesabu mindizi minene mikubwa mitano karibu mchane mzima anachukua mfuko ananitilia
Nilishangaa sana ikabidi niwe na mzigo wa ndizi tena
Hizo zako ni ndogo sana nahisi wangenipa kama hizo zaidi ya 10
 
Leo ni siku ya nne nikiwa hapa Kakonko mkoani Kigoma. Leo Jioni nimepita sokoni nikakuta matunda, hasa ndizi na parachichi, ni bei nafuu sana.

Parachichi 2 sh 500/= na ndizi 6 mbivu nimeuziwa shilingi mia tano.

Nilikotoka, ndizi 1 huuzwa sh 200/= , na parachichi 1 huuzwa kuanzia 500/= hadi 1,000/=.

Hii haiwezi kuwa fursa ya kibiashara? Sijajua hasa wanakotolea matunda husika, lakini, nashawishika kuamini kuwa ni humu humu Kakonko.

Kwingineko matunda mnauziwa bei gani? Wajasiriamali, angalieni kama hiyo inaweza ikawa ni fursa au la! Nawasilisha.

View attachment 2751439
Mkuu kwetu Wilaya ya Missenyi, niliwahi kumpa mtu nusu Lita ya chupa ya gongo (enkonyagi rejura) akanipa kavelo kazima ka parachichi mpaka kwa aibu nikampa buku tano! Ahahahahaha! Hizo ndizi ulizoweka hapo kwetu zinaitwa FIA. Hatuli bali tunatengenezea RUBISI! Ahahahahaha!!!
 
Leo ni siku ya nne nikiwa hapa Kakonko mkoani Kigoma. Leo Jioni nimepita sokoni nikakuta matunda, hasa ndizi na parachichi, ni bei nafuu sana.

Parachichi 2 sh 500/= na ndizi 6 mbivu nimeuziwa shilingi mia tano.

Nilikotoka, ndizi 1 huuzwa sh 200/= , na parachichi 1 huuzwa kuanzia 500/= hadi 1,000/=.

Hii haiwezi kuwa fursa ya kibiashara? Sijajua hasa wanakotolea matunda husika, lakini, nashawishika kuamini kuwa ni humu humu Kakonko.

Kwingineko matunda mnauziwa bei gani? Wajasiriamali, angalieni kama hiyo inaweza ikawa ni fursa au la! Nawasilisha.

View attachment 2751439
Mkuu kwetu Wilaya ya Missenyi, niliwahi kumpa mtu nusu Lita ya chupa ya gongo (enkonyagi rejura) ambayo ni sawa na hero akanipa kavelo (kiroba) kazima ka parachichi mpaka kwa aibu nikampa buku tano! Ahahahahaha! Hizo ndizi ulizoweka hapo kwetu zinaitwa FIA. Hatuli bali tunatengenezea RUBISI! Ahahahahaha
 
Hata hapa dar matunda ya bei poa yapo ni wewe tu kujua machimbo ya kupata hayo matunda.
Kwa mimi tegeta nyuki mle sokoni kuna maparachichi ya 100 yapo
 
Sasa kuwa makini huko Kakonko wasije wakakuwekea sumu. Unaweza kukutana na kifurushi cha wiki au mwezi ukapotea.
 
Back
Top Bottom