Ni wapi nitaweza kupata huduma ya DNA test Tanzania?

Msuya Jr.

JF-Expert Member
May 31, 2013
1,691
899
Hello pipo, naomba kujua iwapo Tanzania kuna kipimo cha DNA. Na je ni bei gani!!?

Hawa watoto nataka nikawapime, coz simwelewi wife hasa huyu mtoto wa mwisho, nlikuwa masomoni kwa mda sasa mh, nahisi kama nilisaidiwa hapa.
 
,

Sent from my E6553 using JamiiForums mobile app
 
Guyz DNA sio lazima. Iwe kwa watoto tuu, also kuna vingine, thus why nikasema wacha kukariri
 
Assume akienda na kukuta watoto ni wake... Je hiyo sio stress?

See what i meant?? We need to first define what is stress maana hiki unachokielezea au kufikiria siyo stress. Kumbuka huyu mtu tayari ana fikra kwamba baadhi ya watoto siyo wake (he just need scientific proof!!) so psychologically tayari yuko prepared na majibu ili aweze kufanya maamuzi. Sasa stress inaingiaje hapo?
 
Unajua effect ya kufikiria watoto sio wako then ukakuta ni wako?
 
Mi siwezi pima hyo kitu
Itauma sana kufikiri mtoto si wako afu waenda na unakuta ni wako pure itakuuuma sana na hata huyo mtoto akijua atamind sana
Mama yake pia itamuuma maana itaonesha humuamini

Sio lazima sisi kama baba tufanane na hao watoto
Thats whatsup!! Je akikuta ni wake!! Hii ndio stress zaidi
 
Kwa mapenzi waliyonipa wazazi wangu, hata leo hii niambiwe huyu sio biological father wangu, sitaacha kumpenda. Hakulala wakati ninaumwa, alihakikisha nimekula, nimevaa, nimekwenda shule, na anafahari kuwambia jamaa ndugu na marafiki huyu ni binti yangu.
 
Tanzania they complicate too much, Mimi nilituma sample UK na wakaniletea Majibu ya uhakika. Watakuuliza tu kama waitaji majibu ya peace of mind au yanayotambulika kisheria na documentation!

QUOTE="renyo, post: 16309310, member: 147416"]Hello pipo, naomba kujua iwapo Tanzania kuna kipimo cha DNA. Na je ni bei gani!!?

Hawa watoto nataka nikawapime, coz simwelewi wife hasa huyu mtoto wa mwisho, nlikuwa masomoni kwa mda sasa mh, nahisi kama nilisaidiwa hapa. [/QUOTE]
 
kwenye mengine wala haitamuuma kwa mfano mke ni malay***na ushamfumania au na bahati mbaya zaidi akawa poa HIV postive na wakati huo huo ana mimba na ni mkeo huyo mwanaume umepima uko vizuri mungu kakunusuru hapo ukiwaza DNA utakuwa utakuwa unamkosea mke na uyo mtoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom