Wa Katutura
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 371
- 456
Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia?
Arabic gum = ubani.Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia?
View attachment 3083029
Ndio huohuo dada mkuu ni Ubani kumbe na sio NtaArabic gum = ubani.
Siyo nta.
nta = wax.