Ni wapi Dar naweza pata huduma ya massage nzuri?

Wanauza nini vipodozi au after sheve?

Wanavaa vinguo vya kubana, chini ni vi skin tight na vibody suit vitovu nje, as if wanakuuliza hautaki huduma nyingine yoyote?.Hata touch yao, wanajaribu kuelekea maoneo maoneo, ili kukupima unataka huduma yoyote zaidi ya massage.

Siku moja nilimwambia wife anipitie alipowaona tuu walivyovaa, ndio ukawa mwisho wangu kuruhusiwa kwenda landa nijiibe!.
 
Kuna nyingine karibu na hospitali ya moyo kinondoni.hii ni ma pro na hakuna mambo ya kubembelezwa biashara nyingine.bei ni kama elfu 40 hivi
 
Embu acheni kuendeshwa na huu utandawazi massage ya nn? Hyo pesa si'bora ukawape yatima na wajane. Hebu fkiria mbna wazee wett zamani hzo waliishi miaka mingi bila hayo mambo ya massage
 
siku moja nitenda ya wachina....... I like it, nimekumbuka sauna wakati nikiwa nje ya nchi.....aiseee ni raha sana
 
sisi wenzenu kwa maisha haya leo tule nini HIZI MASSAGE ZA 20,000 etc NI ANASA
 
Sorry wakuu, kama kuna memba anajua wapi naweza pata hii huduma mwanza anijuze
 
Kiukweli kabisa mi natafuta yenye yale mambo yetu yale.....nipe details please
 
safi sana wana JF maana hii topic imetendewa haki kwa kupatiwa information zake 100% nadhani hata asiyejua wapi kwa kwenda anaweza kuwa mwalimu sasa wa kuelekeza watu , mie naenda kwa 20,000/= pananitosha tuuu
 
Samahani jamani, msinicheke maana haya mambo ya masaji ni mageni kabisa kwangu. Hii mnayoita full body ndo wanagusa hadi sehemu zetu za biolojia? Navua nguo ZOOTE? I mean ZOTE?
 
Samahani jamani, msinicheke maana haya mambo ya masaji ni mageni kabisa kwangu. Hii mnayoita full body ndo wanagusa hadi sehemu zetu za biolojia? Navua nguo ZOOTE? I mean ZOTE?
muulize uporoto atakuambia
 
Wakuu JF,

naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata huduma ya massage nikiwa Dar. Naomba iwe ni sehemu safi yenye hadhi, siyo uchochoroni.

safi ndugu,me nakushauri kwa hadhi yako ungeenda kilimanjaro kempiski pale kuna massage parlour nzuri sana unafanya kuchagua ya thailand,singapore,philipino nk,,ila hautajutia dolla zako..
 
safi ndugu,me nakushauri kwa hadhi yako ungeenda kilimanjaro kempiski pale kuna massage parlour nzuri sana unafanya kuchagua ya thailand,singapore,philipino nk,,ila hautajutia dolla zako..
We Joice mbona huna huruma massage ya laki unamshauri mtu aende na kuna za elfu 25 nzuri tu.
 

Mkuu, naomba kujua hiyo ya Mbezi Beach iko sehemu gani tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…