Nyaru-sare JF-Expert Member Aug 2, 2019 5,263 3,629 Sep 25, 2019 #401 msomi uchwara said: Kwa yule aliosoma shule moja toka la kwanza hadi la saba .anaweza kuwafahamu...ila kwa sisi tuliohamahama shule huwezi kumbuka.. Click to expand... Wewe ulikuwa ukihama unarudia darasa? mimi nimehama mara nne, lkn wa darasa la kwanza nawakumbuka! sababu nikihama la nne mwishoni naanza la tano mwanzoni. sasa wewe unaiga kuhama but hukuwa mhamaji usitupige
msomi uchwara said: Kwa yule aliosoma shule moja toka la kwanza hadi la saba .anaweza kuwafahamu...ila kwa sisi tuliohamahama shule huwezi kumbuka.. Click to expand... Wewe ulikuwa ukihama unarudia darasa? mimi nimehama mara nne, lkn wa darasa la kwanza nawakumbuka! sababu nikihama la nne mwishoni naanza la tano mwanzoni. sasa wewe unaiga kuhama but hukuwa mhamaji usitupige
Nyaru-sare JF-Expert Member Aug 2, 2019 5,263 3,629 Sep 25, 2019 #402 Yamakagashi said: Mwl.Julius K Nyerere 1951 Click to expand... sikamooo babu
Nyaru-sare JF-Expert Member Aug 2, 2019 5,263 3,629 Sep 25, 2019 #403 Mi naenda bana wengi humu wa Dar tuuuuu! Tanga dodoma ahahahah! kumbe tunajipigishaga story kivyetuveytu, mi nilidhani na wa mkoa ni wengi, but hamna
Mi naenda bana wengi humu wa Dar tuuuuu! Tanga dodoma ahahahah! kumbe tunajipigishaga story kivyetuveytu, mi nilidhani na wa mkoa ni wengi, but hamna
G Ghost Worker JF-Expert Member Apr 20, 2016 1,412 1,862 Sep 25, 2019 #404 Perimeter said: Sio huko tu hata mwl wa darasa la SABA simkumbuk Click to expand... Hakuna KILAZA alikuwa na mahusiano mazuri na walimu shuleni achilia mbali kuwakumbuka japo kwa majina.
Perimeter said: Sio huko tu hata mwl wa darasa la SABA simkumbuk Click to expand... Hakuna KILAZA alikuwa na mahusiano mazuri na walimu shuleni achilia mbali kuwakumbuka japo kwa majina.
T Turudi pale Rau Madukani JF-Expert Member Jan 16, 2016 2,156 4,721 Sep 25, 2019 #405 Mwalimu Msemwa na mwalimu Kevenuke shikamoo
Mdhamini JF-Expert Member Nov 25, 2016 214 171 Oct 2, 2019 #406 Mwalimu Amina Mlengi Bunge primary school 1973