Ni wanaume wangapi wanayaweza haya?

Ni wanaume wangapi wanayaweza haya?

Jamani hamnaga hao, hakunaga hao hata ukizaa tu unalipata libwana unaeleza ndoto zako nataka uwe mfano kwa mwanangu anakujibu kwani hana baba zake wadogo? au baba wa ubatizo (kama vile madhehebu yote yana baba wa ubatizo)

Hongera kwa Aziza.
Tambua kuwa nnapata sana shida kutambua hii Id

Ila ntazoea Tuu Bi Mother

Mwandiko wako ni kielelezo tosha
 
Bado ni mimba, tena ya miezi mwili, baba mtoto amefariki... mbona rahisi sana kukubaliana na hilo...


Cc: mahondaw
 
Mkuu, siku hizi kutoa posa sio issue. Issue ni kuoa na kudumu katika mahusiano ya ndoa. Naanza kuona kuwa siku sio nyingi mmojawapo atapost thread ya kulamlalamikia mwenzake au kuomba ushauri.
 
Wanaume wengi wanaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto ambaye baba yake ameshafariki..
 
Wanaume wengi wanaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto ambaye baba yake ameshafariki..
 
inawezekana sana hasa baba akiwa keshafariki, achilia mbali katoto bado kuzaliwa... mbona hii ni nyepesi sana?

watu wanaoa mwanamke mwenye watoto, sio mtoto, na pengine madingi tofauti asee, kupenda sio jambo la mzaha...
 
Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.

Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.

Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.

Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.

Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.
Wanaume mkuje swali lawahusu
 
Kuna mawili Sky. Lipi unaona haliwezekani.

1. Kuoa mwanamke mwenye shahada ya uzamili

2. Mwenye mtoto [aliyefiwa na mmewe].
Daby wenye shahada za uzamili mbona ni wengi, waliofiwa na kuwchwa na ujauzito wa miezi miwili ni wachache.
 
Kama kafa wanaume wapo wengi wanaweza.. Ila kama yupo hai .. Aziza atakoma
 
Daby wenye shahada za uzamili mbona ni wengi, waliofiwa na kuwchwa na ujauzito wa miezi miwili ni wachache.
Si bora abaki kimya...siku inayofuata anipe tunda week inayofauta ananiambia....babe najiskia vibaya labda nina mimba.


BTW, she is honesty. I like her.
 
Back
Top Bottom