Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,316
Kama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole.

Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni.

Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi.

Ni hilo tu.
 
Sasa kwanini asijue au ndio umtege vizuri 🤔🤔🤔
 
When a Man pays his bills it's normal.

But when a woman pays her bills,
She is a strong woman, super woman, independent lady, fighter , Queen of the jungle, Boss lady ,Hustler, self love,

Yani sifa zote Kedekede ni zake [emoji23][emoji23]

Na baada ya hapo "Feminism" huanza.
 
Sasa kwa nini asijue au ndio umtege vizuri 🤔🤔🤔
Sio kumtegea lengo ni kuwa mwanaume atakiwi kuona uchaf wak wala kujua kama ndio unaingia period siku xote skuone uko smart
 
Sio kumtegea lengo ni kuwa mwanaume atakiwi kuona uchaf wak wala kujua kama ndio unaingia period siku xote skuone uko smart
Sasa wengine tunapenda teleza wakati wa period hivyo demu lazima aseme ili wakati huo tegegedane
 
Mnaangaika Sana , Tafuta tu Mwanaume uolewe utakufa bure.
 
Wazo zuri but ni Wajibu wa Mwanaume kumhudumia Mwanamke kwa kila hitajio lake nasio mpaka aombwe..haijilishi Mwanamke ana pesa au hana

Kuna Wanaume wanajali jaman acha tu hawaombwi wanajua kutimiza wajibu wao mpaka raha yaan

Pesa ya Mwanaume tamu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…