Ni wakati wa Kanisa Katoliki kusimama na kukemea,Askofu Shoo ameonesha njia.Waumini wana manung'uniko

Wewe na huyo Bashite hamna tofauti kuhusu ubaguzi na chuki na kundi fulani la watu.

Kwanini hukuuliza viongozi wa makanisa mengine ya kiprotestanti?

Kwanini hujauliza kuhusu Anglican Church au Sabato(SDA)?

Kwanini hujauliza kuhusu viongozi wa Hinduism, Islam na Budha au viongozi wa wasiokuwa na dini?

Chuki yako na ubaguzi wako dhidi ya wakatoliki itakuuwa kwa kihoro bure. Kanisa katoliki takatifu la mitume lilikuwepo kabla ya makanisa yote na litakuwepo hadi siku yesu atakaporudi tena kuwahukumu wazima na wafu nao ufalme wake hautakuwa na mwisho.

Kanisa katoliki ni taasisi kongwe zaidi duniani iliyo hai miaka zaidi ya 2000, get and swallow it, let it sink in your head.

Thread za kuwagawa watu kidini na madhehebu hatuzitaki, hizo mpelekee Bashite pacha wako wa ubaguzi.

Unakemea ubaguzi kwa kuleta ubaguzi mwingine??!!
Asichojua ni kuwa huyo shoo ni sawa tu na kateksta wa Katoliki.
 
Kuisema vibaya CCM haimaanishi Mimi Ni CDM na kinyume che Ni sawa....

Aliposema Mkuu wa mikoa yeye alikua sawa na shujaa asieogopa kasema, SHOO yeye Ni CDM...

Tz ina binadamu wachache Sanaa kwa Sasa na wengi hawana moyo wa CCM ila CCM tumejaa watu wengi Sanaa.
 
Huwezi tofautisha siasa na dini. Na kila kitu kinachomgusa mwanadamu ni siasa. Politics determines the way of life of every individual.
Ni kweli Dr Shoo kachanganya siasa na dini hata wale wanasiasa wanaoomba kuombewa na pia wanachanganya siasa na dini.
 
Ni sawa,

Swali,
"JE ANAWEZA KUMKOSOA KIONGOZI WA SERIKALI WAKIWA USO KWA USO?"

Padri Privatus Karugendo huyafanya haya mara kwa mara kwenye makala zake anazoandika katika gazeti la MWANANCHI
 
Huyo gwajima askofu wa kujiokoteza huko mtaani unamfananisha na askofu msomi phd dkt .shoo.
Umeshasikia dkt shoo anafanya upumbav kama wa gwajima?
Huyo askofu wa dar usimfananishe na askofu wasomi.
Unafananishaje Askofu wa katoliki na maaskofu wa makanisa mengine?
Askofu Shoo mfananishe na akina Ngwajima hivi
 
Samahani kama nimekukwaza,

Sawli,

"WAZAZI NA WAJUKUU WAKIJA KWAKO KUHITAJI MSAADA, UTAANZA KUMSIKILIZA NANI?"

Wewe na huyo Bashite hamna tofauti kuhusu ubaguzi na chuki na kundi fulani la watu.

Kwanini hukuuliza viongozi wa makanisa mengine ya kiprotestanti?

Kwanini hujauliza kuhusu Anglican Church au Sabato(SDA)?

Kwanini hujauliza kuhusu viongozi wa Hinduism, Islam na Budha au viongozi wa wasiokuwa na dini?

Chuki yako na ubaguzi wako dhidi ya wakatoliki itakuuwa kwa kihoro bure. Kanisa katoliki takatifu la mitume lilikuwepo kabla ya makanisa yote na litakuwepo hadi siku yesu atakaporudi tena kuwahukumu wazima na wafu nao ufalme wake hautakuwa na mwisho.

Kanisa katoliki ni taasisi kongwe zaidi duniani iliyo hai miaka zaidi ya 2000, get and swallow it, let it sink in your head.

Thread za kuwagawa watu kidini na madhehebu hatuzitaki, hizo mpelekee Bashite pacha wako wa ubaguzi.

Unakemea ubaguzi kwa kuleta ubaguzi mwingine??!!
 
Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.

Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;

i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.

ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.

iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.

iv.n.k

Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"
Thrd hii umeileta kwa lengo gani? Ninachokiona ni elimu na ufahamu mdogo ulionao. Unachosifia kukemewa ndo nawe unakifanya. Ubaguzi. Yaani hapa sasa unadhani Shoo wa KKT ni bora kuliko yeyote wa Katoliki. Na kwa nini katoliki? Au umeona ndo wapinzani wako? Huo ndo ubaguzi.

Hiyo sifa unayompa ndo hiyo hiyo iliyomfanya Makonda pia kuzungumza bila kuogopa anachokiamini. Usijifariji kwamba Shoo ni shujaa kwa kusema unachoita ukweli bila kujali kuwepo kwa watu. Ushujaa huo inaweza kuwa ni ishara ya upungufu wa hekima.

btw. Unawezaje kulinganisha ubora wa ngedele na chui? Linganisha hata mafunzo yao, hayaendani hata siku moja. Utajili wao, ufahamu wao, ukubwa wao, yoote ni tofauti
 
Dr Shoo ni Chadema wa Kufa kuzika yaani Chadema Lia lia
UNACHANGANYA HABARI! HAPA NI ISSUE NI OBJECTIVITY YA MTU KWA KIONGOZI WA SERIKALI ,NO MATTER POLITICAL AFFILIATION SOMEONE HAS!
HABARI YA SHOO KUWA TLP OR CCM OR ACT SIO ISSUE!

BASHE BUNGENI ANATEMA CHECHE VIBAYA KUISEMA SERIKALI YA CHAMA CHAKE,PIA NAPE MNAUYE! VIPI NAPE NA BASHE NI CHADEMA???

HIVI NI LINI TUTAKUWA NA AKILI KUYAANGALIA MAMBO NI VERY ANALYTICAL MANNER?

WHY CAN'T WE BE OBJECTIVE????

WEWE MEMBER ULIPASWA UWE FACEBOOK HAPA SIO MAHALI PAKO! HAPA NI MAHALI PA AKILI KUBWA !!!
 
Mkuu kulumudi huwezi tenganisha DINI na SIASA

Hebu tujiulize,

i.Waliomhukumu YESU afe ni akina nani?

ii.YOHANA MBATIZAJI kifo chake kilitokana na nini?

iii.Paulo na Sira alihukumiwa na nani kwenda GEREZANI?

iv. Walioupinga UKRISTU ni akina nani?

Maswali hayo ni michache tu. Nadhani ukisoma BIBLIA vizuri utapata mifano mingi zaidi.

kanisa katoliki halipo kisiasa na wala usitegemee hata siku moja litakuja kufanya hivyo,lina misingi na taratibu na mipaka yake linajua lifanye nini wapi na nani?
 
UNACHANGANYA HABARI! HAPA NI ISSUE NI OBJECTIVITY YA MTU KWA KIONGOZI WA SERIKALI ,NO MATTER POLITICAL AFFILIATION SOMEONE HAS!
HABARI YA SHOO KUWA TLP OR CCM OR ACT SIO ISSUE!

BASHE BUNGENI ANATEMA CHECHE VIBAYA KUISEMA SERIKALI YA CHAMA CHAKE,PIA NAPE MNAUYE! VIPI NAPE NA BASHE NI CHADEMA???

HIVI NI LINI TUTAKUWA NA AKILI KUYAANGALIA MAMBO NI VERY ANALYTICAL MANNER?

WHY CAN'T WE BE OBJECTIVE????

WEWE MEMBER ULIPASWA UWE FACEBOOK HAPA SIO MAHALI PAKO! HAPA NI MAHALI PA AKILI KUBWA !!!

Wewe jadili Ngoma na nyimbo za kwenye ngoma

Asha sie tujadili Mpiga Ngoma kwanini kachagua nyimbo unayotumia wewe kukata viuno
 
Asante sana Mkuu, umenikumbusha wakati NATUMIKIA KANISANI.

Ni wachache sana HUPIGA CHETEZO, KUSHIKA FIMBO NA KOFIA YA ASKOFU. Tena zina Principle zake.
......
.....Mkuu MIMI NI MPIGA CHETEZO CHUKUWA 100
 
Kwanini hukuuliza viongozi wa makanisa mengine ya kiprotestanti?

Kwanini hujauliza kuhusu Anglican Church au Sabato(SDA)?

Kwanini hujauliza kuhusu viongozi wa Hinduism, Islam na Budha au viongozi wa wasiokuwa na dini?

Hizi tatu kakuachia wewe uulize.....
Au Mkawane watatu, kila mmoja na yake.....

Nisawasawa na mwalimu analeta mtihani alafu unaanza mlalamikia kuna maswali hajauliza.....
 
Back
Top Bottom