Ni wakati wa Kanisa Katoliki kusimama na kukemea,Askofu Shoo ameonesha njia.Waumini wana manung'uniko

chaliko

Senior Member
Apr 1, 2019
180
802
Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.

Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;

i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.

ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.

iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.

iv.n.k

Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"
 
Padri Privatus Karugendo huyafanya haya mara kwa mara kwenye makala zake anazoandika katika gazeti la MWANANCHI
 
Karugendo ahudumu kanisani tena ni mlei kama wewe na mimi tu nadhan na ameshaoa
Naam nalifahamu hilo ila hajaanza leo kufanya hivyo na pia ni sehemu ya kanisa katoliki

Amekemea na kukosoa tangu Upadrisho wake haujatenguliwa
 
Wewe na huyo Bashite hamna tofauti kuhusu ubaguzi na chuki na kundi fulani la watu.

Kwanini hukuuliza viongozi wa makanisa mengine ya kiprotestanti?

Kwanini hujauliza kuhusu Anglican Church au Sabato(SDA)?

Kwanini hujauliza kuhusu viongozi wa Hinduism, Islam na Budha au viongozi wa wasiokuwa na dini?

Chuki yako na ubaguzi wako dhidi ya wakatoliki itakuuwa kwa kihoro bure. Kanisa katoliki takatifu la mitume lilikuwepo kabla ya makanisa yote na litakuwepo hadi siku yesu atakaporudi tena kuwahukumu wazima na wafu nao ufalme wake hautakuwa na mwisho.

Kanisa katoliki ni taasisi kongwe zaidi duniani iliyo hai miaka zaidi ya 2000, get and swallow it, let it sink in your head.

Thread za kuwagawa watu kidini na madhehebu hatuzitaki, hizo mpelekee Bashite pacha wako wa ubaguzi.

Unakemea ubaguzi kwa kuleta ubaguzi mwingine??!!
 
Unless huwa huendi kanisan kila jpili au sio mkristo.
Nikujulishe tu kuwa siasa chimbuko na asili yake ni kanisa.
Na moja ya kazi za kanisa ni kuonya na kukemea maovu yanayotokea kwenye jamii regardless vyeo walivyonavyo waumini.. status zao.. uwezo wao.
So check your facts upya
Huyo Shoo hawezi kutofautisha siasa na mahubiri, ana hatred ya kichadema moyoni
 
Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.

Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;

i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.

ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.

iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.

iv.n.k

Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"
Itakuwa katumwa na mabeberu huyo.
 
japo soksi tu, mana viatu hawawezi
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom