Ni wakati wa Kanisa Katoliki kusimama na kukemea,Askofu Shoo ameonesha njia.Waumini wana manung'uniko

Padri Privatus Karugendo huyafanya haya mara kwa mara kwenye makala zake anazoandika katika gazeti la MWANANCHI
Hilo la padri kabaki nalo tu sio padri tena alishavuliwa na alishaoa tayari
 
kanisa katoliki halipo kisiasa na wala usitegemee hata siku moja litakuja kufanya hivyo,lina misingi na taratibu na mipaka yake linajua lifanye nini wapi na nani?
 
Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.

Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;

i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.

ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.

iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.

iv.n.k

Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"
......
.....Mkuu MIMI NI MPIGA CHETEZO CHUKUWA 100
 
Katoliki ya Tz yupo somebody Askofu Ruwaichi. Jamaa huwa ananyooka sana Sena siku hizi yupo kmya sana. Nakumbuka alijuwa Jimbo la Mwanza siku hz sijui yupo wap simsikii
.....
.....Imboru Mbulu Sanu Baray baada yapo makambo
 
Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.

Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;

i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.

ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.

iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.

iv.n.k

Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"
Usipambanishe viongozi wa dini na makanisa yao......tafuta hela dogo
 
Kwani mashehe wanaweza kufanya hivyo pia mbele ya kiongozi, ? Na kwa nini hukusema mashehe ukawnda moja kwa moja kwa katoliiki? Punguza husda mkuu wao huwa hawasemi hovyo hovyo badala yake mahubiri yao huwa yana jikita kwenye kuyaelezea masomo ya siku hiyo yenye mlengo wa kiroho zaidi na si kiasiaaa zaidi.
 
Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.

Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;

i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.

ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.

iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.

iv.n.k

Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"

Rwaichi angetema cheche hadi baba ake angeenda kumchukua kcmc
 
Dr Shoo ni Chadema wa Kufa kuzika yaani Chadema Lia lia
Ni kama wanavyosema Pengo ni CCM nje ndani,na huwa anashiriki kutengeneza sera za chama na ni mshauri wa kiroho anayeendelea kuhakikisha mfumo kristo mnaoulalamikia kila siku ujiimalishe
 
Back
Top Bottom