Ni wakati sasa Tanganyika kulivua hili koti la JMT

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
19,103
35,923
Wakuu.

Umefika wakati sasa kuachana ni hili koti la JMT na kuchukua mamlaka kamili ya Tanganyika na kusimama kama serikali inayojitegemea.

Kama Zanzibar walivyolikataa hili koti la Tanzania visiwani kwa katiba yao ya 1984.

Naililia Tanganyika iliyobebeshwa mzigo mkubwa wa misumari na mateso kupitia jina la JMT.

Ni muda wa kusimama Tanganyika.

Rise and Shine Tanganyika..umenyonywa sana.

Mungu ibariki Tanganyika

CCM tunaitaka Tanganyika yetu.

Uzi tayari.

#MaendeleoHayanaChama
Screenshot_20220112-112615_Google.jpg
 
Watanganyika wengi au karibu wote ni wapumbavu na wengine ni wajinga.
MUUNGANO gani ambao point A inakufa huku point B ikiwa hai na kisha kuambiwa kuna Point C .
 
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Ndugu Zangu

Najua Mmenielewa
 
Back
Top Bottom