Ukirudia kusoma kwa makini nilichoandika utaona... Ila ukitaka kujua kama kifo ni raha au mateso jaribu kujiua uone kama ni sawa na kufika kileleni wakati wa kungonokaKuna mkuu humu alipost kuwa kila aliyewahi kufanya tendo la ndoa amewahi kufa. Yaani ule muda unapofika kileleni ni sawa na kufa maana unaachana kabisa na ya duniani na kupata raha iliyoje na akasema ndio maana wengine wanapitiliza yaani wanakufa jumla wakiwa wanafanya tendo la ndoa, kwa hiyo mkuu huyu akasema kufa ni raha maana unaachana na ya duniani.
Sasa mkuu wewe umejuaje kama wakati wa kukata roho unapata maumivu na sio raha ?
maiti kununa ama kutabasamu
. maiti kukunja uso
.maiti kugeuka kidogo
. maiti kukataa kusafirishwa
. maiti kukataa kuvalishwa nguo
. maiti kushindikana kabisa kubebwa nknk
Wale tunaowaona wakirejea duniani kwa vague images, ndoto hisia nk sio wafu tena bali ni mizimu.... Na kwa taarifa yako ni kwamba wafu wote wako kaburini /kuzimu wakisubiri ufufuo siku ya kiama
Nini tofauti kati ya soul form and ghost form from point of reality,,??baada ya mtu kufa tunaema kuwa nafsi hutengana na mwili( his or her soul separates from his or her own body form) sasa hiyo mizumu ni nafsi inayotembea au,,?? here another point of contradiction make umeseam baada ya kufa nafsi huenda n akufungiwa Purgatory(Kuzimu),,?? so how does the soul shits to exihibit two dimension or life form japo ndio nafsi inaweza kucheza katika dimensions tofaut,,but how do we consider Ghost,??
Are Ghosts souls that shift kutoka kuzimu huko kwa muda or,,,?? is it possible a soul to exihibit both in Purgatory and in the physicla world at once,,?? patamu hapa,,,,
Roho ndio hubeba mchakato wote na kamwe roho haifi...
kama ni hivo nini sasa hukumu ya kudumu ya Roho au nafsi,,,,kama hukumu huikumba nafsi na still umesema nafsi ikiletwa na kupatiwa uhai haiwezi kamwe kupoteza uhai wake ( once a soul is created ,can not be destructed from point of reality,,sasa hatuoni kuwa tukisema hukumu ya nafsi ni kama tunazunguka mbuyu,,??
Hebu toa ufafanuzi hapa mkuu
We siku hizi mimi sikuamini maneno yako. Ngoja nipite tu.Wakati wa mafunzo yangu huko mbali na baadae kazini nilipata mara si haba wasaa wa kukaa na wagonjwa waliokuwa katika dakika zao za mwisho za kufariki... Wachache nilikuwa nao mpaka roho inaachana na mwili.... Maisha yana vitu vinauma na kuumiza sana... Lakini hakuna maumivu makali kama pale roho inapotaka kujitenga na mwili... Ni tendo moja gumu sana.. Na unayaona wazi mahangaiko ya mfu mtarajiwa....
Nimeshiriki pia mara si haba kuwapokea wafu kwenye chumba cha kuhifadhia maiti(mortuary) na kuwahifadhi wengine hadi wiki na ushee...Nimeshiriki kuwaandaa marehemu kwa ajili ya kuagwa mara ya mwisho na wapendwa wao... Nimeshiriki kuzika kwa udongo.. Na nimeshiriki si mara haba kuwachoma moto marehemu kama utamaduni wao unavyotaka
Kote huko niligundua kitu kimoja kikubwa sana... Kifo sio jambo la maramoja linaloishia hapo hapo... Kifo ni mchakato unaoanzia tangu kutungwa kwa mimba, kuzaliwa, kufa na mwendelezo baada ya kufa..
Mfu anakuwa mfu kwasababu tu roho imetengana na mwili.. Lakini kuna uhai usioonekana unabaki mpaka pale makaburini! Na ndio maana kuna simulizi nyingi za marehemu kabla hawajazikwa na hata baada ya kuzikwa...
Baadhi ya vituko hivyo ni
. maiti kununa ama kutabasamu
. maiti kukunja uso
.maiti kugeuka kidogo
. maiti kukataa kusafirishwa
. maiti kukataa kuvalishwa nguo
. maiti kushindikana kabisa kubebwa nknk
Kuna mkanganyiko mkubwa kwenye imani zetu kuhusiana na swala zima la pepo na kuzimu(akhera) na uhalisia wa mfu kufika kuzimu ama peponi muda gani...
Mchakato wa mtiririko wa kikristo uko hivi
Mateso
Kifo
Kuzikwa
Kushuka kuzimu (kwa tafsiri ya hapa kuzimu kuko chini ya kaburi)
Baada ya hayo yote ndio kupaishwa JUU mbinguni(rejea imani ya kikristo)
Hapa ndio inakuja ile tafsiri ya maneno KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.....
Kwahiyo wafu huwa around mpaka wanapozikwa ndio huenda kuzimu... Wale tunaowaona wakirejea duniani kwa vague images, ndoto hisia nk sio wafu tena bali ni mizimu.... Na kwa taarifa yako ni kwamba wafu wote wako kaburini /kuzimu wakisubiri ufufuo siku ya kiama... Hakuna mfu aliye peponi na hakuna mfu anayekwenda kuzimu direct bila kupitia mchakato husika... Hata kama alipotelea baharini, hata kama alioza porini ama aliungua mpaka kubakia jivu... Roho ndio hubeba mchakato wote na kamwe roho haifi...
I think you know about leftovers! Hata maji hayapoi hapohapo ukiyatoa kwenye moto.. Mifano ni mingi but once a soul separates itself from the body n dwell into another realm of existence.. It doesn't mean there is no left overs....well said mkuu,but think twice about the following,when a soul lands away from the body ,the human being remains unconcious without any movement( consider mtu aliye lala fo fo fo,hata umtikise vipi hawezi kusense chochote na hatakuwa na positive reaction na wew unaemdisturb mpaka pale nafsi au concious form of reality itakapo mrudia ndio anashtuka,,,lakini hapa tunasema kwamba nafsi inaexihibit two aewreness of relm azo ni subconcious form of realm na concious form of relm...sasa hapo inakuwaje mkuu;
When somebody dies,his or her soul separates from his body..unaposema na kuhusisha hivyo vitu vyote kwa maiti does it real make sense from point of sense..??
ninachofahamu mimi ni kwamba when a soul( NAFSI) inapoachana na mwili ,mtu huingia kwenye subconcious form of realm na kumfanya asiwe kwenye co-ordiantion ya muunganiko wa vitu hivyo wiwili,,,so how does a dead body exhibit those forms of paranoprmal events,,??
Ni sawa tu na wachinjaji .. Kila roho inayoondoka kupitia mkono wako huacha alama juu yako... Kuna siku ikikaribia kuungana nazo zitakuzodoa huna muda tena wa kuomba msahama Kwao.. Na hii inaelezeka vizuri kwenye reincarnationKaka Mshana Jr,he vipi kuhusu vifo vya watu waliokuwa wachawi na kuua watu wengi,ukataji wa roho unakuaje kwa maana ya mateso?na kuna dhana ya kuomba msamaha je,asipoomba msamaa nini umtokea MTU mchawi na muuaji?
Hapa kuna kitu kidogo unachanganya roho na nafsi ni vitu viwili tofautiwell said mkuu,but think twice about the following,when a soul lands away from the body ,the human being remains unconcious without any movement( consider mtu aliye lala fo fo fo,hata umtikise vipi hawezi kusense chochote na hatakuwa na positive reaction na wew unaemdisturb mpaka pale nafsi au concious form of reality itakapo mrudia ndio anashtuka,,,lakini hapa tunasema kwamba nafsi inaexihibit two aewreness of relm azo ni subconcious form of realm na concious form of relm...sasa hapo inakuwaje mkuu;
When somebody dies,his or her soul separates from his body..unaposema na kuhusisha hivyo vitu vyote kwa maiti does it real make sense from point of sense..??
ninachofahamu mimi ni kwamba when a soul( NAFSI) inapoachana na mwili ,mtu huingia kwenye subconcious form of realm na kumfanya asiwe kwenye co-ordiantion ya muunganiko wa vitu hivyo wiwili,,,so how does a dead body exhibit those forms of paranoprmal events,,??
Hata kama kinatisha Shunie ila kiliwekwa ili kila mwenye mwili akipitie. We must all experience it as long as We're on earth breathing the almight abundant air.[emoji120]Kifo kifo kinaogopesha jamani woiiii
Kaka asante endelea kututisha kaka angu
Inaitwa the wondering spirit. Swali; hivi inakuwaga na uwezo kwa ku execute plans ambazo iliziacha kabla haijauacha mwili?Kimwili hawana fahamu tena lakini kiroho mambo ni tofauti.... Roho ikitulia kaburini ndio ile hali tunayoita REST IN PEACE... Lakini roho ikigeuka pepo shida huanzia hapo... Inakuwa ni roho ya kutangatanga na mahangaiko mengi na Hii ndio dhana ya jehanum